Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Eeh! Hilo swali gan tenaSi hua unakojoa lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh! Hilo swali gan tenaSi hua unakojoa lakini?
Hata sijui anakuja vipi kwakweliUnakua unafanyaje mpaka huyo jini mahaba anakuijia ili umchakate?
Naomba muongozo coz hii mishangazi nimeshaichoka sasa.
Labda uje PM ili tujadili kwa utulivu zaidi?Hata sijui anakuja vipi kwakweli
Hili ndo jibu....!Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Nimeuliza tu mkuuEeh! Hilo swali gan tena
Hii comment ni fungakazi!! Nimecheka mpaka machozi yametokada!!
natamani kuwa kama wewe,manake no stress,no loss of money,no cheating,no HIV,PANGUSA,UTI yaani unagonga bila condom na hamna madhara!!!! baki ivoivo mzee!!! bahati haiji mara mbili!!!!,,,yaani wewe at bahati mbaya ukifungwa jela,,,,,"no problem",,,unajigongea dem ndotoni tartiiiiiiibu!!!!
Dah! Utakuwa unafaidi sana uwapo ndotoni. 😴Naamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Nina mke na watoto watatu mkuuTukiota utajiri huwa tunapambana na maisha tuupate, sasa wewe unaota kufanya hivyo je unae huyo mpenzi?? Isije kuwa ni wenge tu na upwiru unakusumbua, tafuta kwanza mpenzi halafu ufanye kama hiko unachokiota halafu mengine yatafuata
Yakijirudia then omba ushauri
Nifanyaje nisioteInatokea bhana hasa ukikaa mda mrefu bila kufanya mapenz au la ni majini mahaba
Uko sawa kbs lkn kupata mtumishi wa kweli kwa leo ni kz naambae atakusaidia ningumu kwa sasaHili ndo jibu....!
Sina haja kuandika Uzoefu wangu
Namwaga kbs na nachukia maana unaamka umelowana kbs . Lkn pia wkt mwingine unakuwa km mnapapasana mimi sipendi sijui nifanyajeKuota unafanya mapenzi (ndoto nyevu) kunapoambatana na kumwaga shahawa ni dalili una sperm count za kutosha, hautakiwi kumind hasa kama unabalehe au umeamua ujiunge kwenye ile challenge ya Nofap.
Hauna shida yoyote, baadae mwili utazoea hizo ndoto zitakata.
Kama kwenye hizo ndoto haumwagi, basi hiyo ni reflection ya mawazo Yako ya ngono
Km Huna msaada si unapita tu nduguulitaka kuota upo kwenye mandamano ya matembezi ya amani si ndio
Wewe mtoto bado hujalala mpaka unasikiliza mambo ya kikubwa?Si hua unakojoa lakini?
Mbona mada iliandikwa mchana mkuu😂Wewe mtoto bado hujalala mpaka unasikiliza mambo ya kikubwa?