Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAswaa kulipunguza nguvu angalau kuogea chumvi ya mawe kujipaka vitunguu saumu au mafuta ya oliveDu mkuu hii mbona inaonekana ni kweli kabisa
Itakua Jini mahaba hilo!
Pole Sana Kwa changamoto unayopitia mtafute Kiongozi wako WA dini atakufanyia maombi na hiyo aliitakwisha ,unaitaji msaada WA Mungu Kwa ajili ya Jambo iliNaamini hapa ni mahali sahihi pa kushare mapito maana wapo waliopita wakashinda watatusaidia
Hata mimi ni mwanaume Lkn kila siku nimekuwa naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninao wajua na nisio wajua.
Hii hali imekuwa ikinitesa sana. Wala si kwamba nimekuwa nawaza sana kwa habari ya mapenzi hapana lkn kila siku nikilala naota nafanya mapenzi na wanawake na mabinti tofauti.
Na nimewahi kusikia kuwa ndoto za hivyo mara nyingi huwa na madhara makubwa.
Nimekuja hapa kuomba msaada naamini kuna watumishi wa Mungu na mashehe pia na watu wa Mungu mbali.
Nawale ambao wamewahi kupitia hali hii walijitoaje ili wasiendelee kuota ndoto hizi ambazo wengi huwa wanasema (spiritual wife and husband)
Naomba msaada ndugu zangu
Naomba kuwasilisha wakuu
Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa
Jini mahaba noma sana...Itakua Jini mahaba hilo!
Hii haijaenda hii!Hii imeenda hii
😘😉Hii haijaenda hii!
Hakuna spiritual husband and wife.
Mwanaume mwenye afya nzuri ni lazima uote unafanya mapenzi, tena mara kwa mara.
Sio kweli, kama hufanyi lazima uote lakini km ni mzee wa migegedo ndo utaona na utachafua mashuka kabisa.Hii haijaenda hii!
Hakuna spiritual husband and wife.
Mwanaume mwenye afya nzuri ni lazima uote unafanya mapenzi, tena mara kwa mara.
Duuh[emoji1787][emoji1787]Uwe unalala huku umevaa Kondomu kabisa,usipige kavu kavu.
Tenaaa[emoji23]Hilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk
Kwa maelezo zaidi njoo pm
[emoji1787]sa sijui shida yake nini hapo au huwa haridhiki?Si hua unakojoa lakini?
Unaweza kuwa sahihHilo ni tatizo mpendwa, linahitaji maombi ili ufunguliwe, ulishafungishwa ndoa na majini mahaba na yanakumiliki kihalali, nilikuwa na tatizo kama hili ila baada ya kufuata procedure za maombi tatizo lilikoma mpaka Leo, ni kweli kuna madharq makubwa, moja ni kwamba Leo ukifa utaenda motoni, maana una uhusiano na mapepo na roho yako imechafuliwa! Chukua hatua mapema na tatizo lako litakwisha, hamna kinachoshindikana kwa Jina la Yesu! Funga maombi ya siku 3 masaa 12, njoo whasap nikutumie vifungu vya biblia vya kutumia, ukimaliza kufanya maombi kwa kutumia hayo maandiko nitakayokupa, chukua sadaka yoyote kuanzia 100/= na kuendelea ambyo moyo wako utakutuma kuitoa iombee hiyo sadaka kwenye ulimwengu wa roho ni mahari waliotoa hayo majini kukumiliki wewe, ukiombea hiyo hela mpelekee mchungaji wako wa kiroho, hiyo hela kwenye ulimwengu wa Roho inageukq kuwa mahari na itarudishwa baada ya hapo utawekwa kuwa huru mpendwa! Madhara ya majini mahaba
1: kuwa na hasira
2: ndoa yako haitakuwa na amani
3: kutokufanikiwa katika maisha
4: maisha yako ya kiroho yanaathiriwa
Nk
Kwa maelezo zaidi njoo pm
Tafuta sogea tuishi uanze kuishi nae, huo ndio msaadaNaomba msaada ndugu zangu
Na huo ndio ukweli bila hivyo ataanzaje kukupigia nyeto avatar yako,Hakuna cha ajabu hapo, ni muda sasa wa wewe kuoa, utakufa kwa upwiru.