BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
We ni atheist?? Huamini kuwa huwa hizo ndoto zitatoweka kwa maombi???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha saba huyo tunampa nyoka mix nyungunyungu hatasimulia ataenda laumuHakikisha unamkunja saba akitoka aende kumsimulia kaka yake
Mpakie mkongo tena unamwenyea na k vant kubwaHahahaha saba huyo tunampa nyoka mix nyungunyungu hatasimulia ataenda laumu
Niko serious vibaya mno washikaji zangu huku ndani wengi wanazingua. Shida watu wanahisi simjui Yesu wao wanamjua zaid. Nna cheti cha Bible knowledge nimepita seminari na haipiti siku sijasoma Bible. Wanataka nimjue Yesu wamjuavyo wao juu juu
Kama una tafsiri ya hii ndoto nitashukur sana ila kama jibu niokoke bado hujajibu swali langu. .
Nasubiri muendelezo. ...Owk, cheti, kusoma seminary , na kusoma bible Kila siku haikufanyi ukajua Kila kitu. Hao wanaokuambia umjue Yesu Kuliko wao , wachukulie positive kwanza, ndio utaweza kujifunza, kuna kimoja wanaweza kukusaidia.
Wakati mwingine ukitaka msaada na unapita changamoto , jitahidi pia uonyeshe kuwa upo serious, cz Mtu anaweza kuwa na msaada na akapita kama haoni cz ya comment tu.
Kwenye utani weka utani by ktk vitu serious kuwa serious,
Sababu mwishon wa siku vita ni ya kwako na sio ya watu humu jamii forum.(hayo ni mawazo yangu)
***************************
Turud kwenye ndoto. Utu wako wa ndani lazima uwe na nguvu Ili uweze kupambana. Naendelea... Subiria
Zaburi 118:8 "ni kheri kumkimbilia BWANA kuliko kuwatumainia wanadamu"Je Kila kitu kinabebwa ma maombi? ingekuw hivyo Kila mtu angekuw Tajiri
Kama kuna anayejua tafsiri ya ndoto angenitafsiria. .
Nimegundua watu wananipenda sana humu ndani. Wengi wamenishauri vyema na kuniomba niokoke. Nawashukuru sana kikubwa wao wamefanya utume wao imebaki mimi kutekeleza. .Acha wenye kutafsiri ndoto waje kukufungulia hizo codes mkuu
Nimetokea kukupenda sana DIVINE. Umechukua msa wako kuniandikia na kunishauri sina cha kuongeza. Habari njema imenifikia. Thank you dearest 😊Ninachokulekeza ni jinsi ya kushinda vya kiroho ikiwa umelala.
Kitu Cha kwanza kabisa uombe Toba, kwaajili yako, family, ukoo, mahali unapolala (ardhi) mtaa. Na chochote kile ambacho kimefungua mlango
Shetan hapiti kama hana uhalali, hivyo Toba itakusaidia kumpa Mungu nafasi ya kukutetea. Kasome Daniel 9: 4-19( kaombe toba kupitia hii mistari, tumia damu ya Yesu inene rehema juu yako)
2
Utu wako wa ndani lazima uwe na nguvu ya kupigana vita, cz ukilala hutakiwi kulala usngiz utu wako wa ndani lazima uwe Macho
“lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake. ”
— Mathayo 13:25
Kulala usingiz wa mwilini ni sawa ila ndani uwe na nguvu Ili usipandikiziwe vitu visivyo sahihi.
Unapataje nguvu Kwa utu wako wa ndani Kwa kumuomba Mungu
“awajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, #kufanywa imara# kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake #katika utu wa ndani. ”#
— Waefeso 3:16
3
Mungu akufundishe mikono yako vita ili uweze kupambana ktk vitu vya rohoni(Daudi alipewa)
“Ananifundisha mikono yangu vita; Hata mikono yangu yaupinda upinde wa shaba. ”
— 2 Samweli 22:35
“Na ahimidiwe Bwana, mwamba wangu, Anifundishaye mikono yangu vita, Vidole vyangu kupigana. ”
— Zaburi 144:1
👆anayefundisha kupigana ni Mungu, hivyo jiombee.
4. Achilia damu ya Yesu ( nyunyiza katika kila kitu) Kwa Imani, Kwa kutamka,
Mfano ardhi, mwili wangu, nafsi yangu, na chochote kile ili vipigane upande wangu.
Waebrania 12:24
Paka damu ya Yesu ya pasaka ktk malango ya ndoto na muda malango ya nyumba yako,( Kwa kutamka kuwa napaka damu ya Yesu ya pasaka
Kutoka 12
¹² Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi Bwana.
¹³ Na ile damu itakuwa ishara kwenu katika zile nyumba mtakazokuwamo; nami nitakapoiona ile damu, nitapita juu yenu, lisiwapate pigo lo lote likawaharibu, nitakapoipiga nchi ya Misri.
👆Akiiona damu(Yesu) hatoruhusu pigo Wala yule anaye haribu aingie ktk majumba yenu./ktk chochote unachotaka kilindwe
4
Mungu akusaidie kushinda vita vya kiroho hata uwapo ktk njozi
“Ndipo ulipowaambia watakatifu wako kwa njozi, Ukasema, nimempa aliye hodari msaada; Nimemtukuza aliyechaguliwa miongoni mwa watu. ”
— Zaburi 89:19
Omba hiyo.
#yeyote mwenye shida ya njozi na akiota hawezi kupigana, aombe hiyo# jiombee Mara Kwa Mara na usome Neno la Mungu ( bible) Kwa msaada wa Roho Mtakatifu
Ukiomba kwa Imani na mara nyingi, utajikuta unaweza kuomba vizuri kabisa, ukiwa umelala usingizi, na unashinda hukohuko ktk ndoto
NB hakikisha unatengeneza na Mungu
Safi, na Pole kwa changamoto...I am Christian, Roman catholic. Napiga maombi sana ila hapa kati ninapitia changamoto za kiimani. Ngoja nikatoe sadaka kanisani. .