Napagawa na Bati: ALAF, ANDO, DRAGON - uchaguzi mgumu. Watu wa mauzo saundi kibao!

Ubora hapo ni kitu gani,kutokupata kutu au kutokupauka,maana kuna mahali nimeona bati la ALAF limepauka na lina kutu nikabaki nimeduwaa kwa jinsi yanavyosifiwa....
Hivi huwa hakuna option ya kupaka rangi hizo bati za ALAF baada ya miaka kadhaa??
 
Hivi huwa hakuna option ya kupaka rangi hizo bati za ALAF baada ya miaka kadhaa??
Ukipenda unapaka halafu juu unaweka raisin ina ng'aa kama kioo.
Lakini kwanini ujipe tabu wakati wao wanazo walizopaka rangi na nzuri tu
 
Oohhhh.... Naipata huko huko ALAF au kwenye maduka yapi??
Nenda maduka ya vifaa vya unjenzi pia ni aina gani ya bati unataka kupaka rangi ?
Kama ni corrugated iron ili rangi idumu na ubora ni hadi inyeshewe mvua haswaa ndo Upake rangi
 
Nenda maduja ya vifaa vya unjenzi pia ni aina gani ya bati unataka kupaka rangi ?
Kama ni corrugated iron ili rangi idumu na ubora ni hadi inyeshewe mvua haswaa ndo Upake rangi
Asante Sana😋🙏🏾
 
Nenda maduja ya vifaa vya unjenzi pia ni aina gani ya bati unataka kupaka rangi ?
Kama ni corrugated iron ili rangi idumu na ubora ni hadi inyeshewe mvua haswaa ndo Upake rangi
Ni bati ya ALAF...
 
Ukipenda unapaka halafu juu unaweka raisin ina ng'aa kama kioo.
Lakini kwanini ujipe tabu wakati wao wanazo walizopaka rangi na nzuri tu
Yale mabati likipigw na jua linang'aaa ndo mazuri au?
 
Yale mabati likipigw na jua linang'aaa ndo mazuri au?
Hapana.
Mkuu bati nzuri ni kuyoka ALAF. Kuna baadhi ya watu hununua bati mpauko kisha kwa utashi wao huyapaka rangi kisha juu yake wakapaka raisin ili mng'ao uwe mkali zaidi. Ila ili ufanye hivyo inabidi hizo bati zipigwe mvua kwanza kwasababu ukipaka jinsi zilivyo rangi hubanduka.

N:B tabu yote ya nini kanunue complete Bati zilizo yatari ALAF.
 
Pale ALAF ukifika kuna madalali wengi sana wanakung'ang'ania hadi kero .
 
Tembea na Alaf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…