#COVID19 Napambana na COVID-19 deadly Delta

Mazoezi yamekusaidiaje? Sijaelewa daraja maana mimi nilibanwa pia hata kutembea ilikuwa shida,wewe mazoezi ulifanyeje? Wiki ya tatu sasa nipo ndani japo 90% nimepona
 
Mazoezi yamekusaidiaje? Sijaelewa daraja maana mimi nilibanwa pia hata kutembea ilikuwa shida,wewe mazoezi ulifanyeje? Wiki ya tatu sasa nipo ndani japo 90% nimepona
Si lazima ufanye mazoezi makali mkuu, hata kama upo vibaya sana jitahidi kifanya kile unachoweza kufanya kw wakati huo, hata kitandani amka fanya uwezavyo, yanasaidia mzunguko wa damu na pia kuupa mwili joto
 
 
Mkuu unailaumu jamii inayokuzunguka, hivi unafikiri mataifa yaliyoendelea idadi ya watu wanachukua precaution na still maambukizo yanaendelea tu tena kwa sana.
Nafikiri Vitu tunavitumia kwajili ya kujikinga vinaweza kua na mapungufu kidogo ila thats all we got.
Kwanamna flani vinapinguza kusambaa.
 
mzee bado mzima, au tayari? pole.
 

Shida tuliyonayo ni serikali ambayo iko katika shida ya kuyakana mahubiri yake ya mwanzo kuhusu huu ugonjwa. Mfano mpaka leo hii eti Tanzania waliokufa kwa Covid ni 21 tu.
 
Mkuu usijiulize mara mbili nenda hospitali inayojielewa (Private) directly waambie dalili za UVIKO-19 upo Nazo wakupatie matibabu au anza kujitibia haraka sana.

UVIKO-19 kuipiga ni lazima uwahi dalili zake za awali..
 
How old are you my brother?
 
Generation Z
You'r still young my brother so that you've strong body immunity.
Keeping do exercises,eat foods rich of Vitamins esp. vitamin C,Drink plenty of water,protect you and others against COVID-19.

Mostly important,don't forget to pray for our GOD.
 
Habari !!
Siku ya jumanne ya week iliyopita nilkumbwa na hali ya joto kuwa juu,kikohozi kikavu na mafua makali nilienda hospitali nikagundulika nina malaria nikatumia dose lakini dose iliisha bila kupata ahueni na dalili zingine kama mwili kuuma maumivu makali sana na baridi kali, tonsils kuuma,kuharisha (sio mara kwa mara) na vipele kutokea mwilini ikabidi nirudi tena hospital nikafanya vipimo kadhaa majibu yakatoka nina viral sepsis na ikaonekana nina dalili zote za Covid 19 (which is true kutokana na ninavyojisikia sasa hv) nikapewa dawa zifuatazo:Ibuprufen,Loratadine,Cefixime na predilone. Ambazo nimetumia kuanzia jumatatu lakini hali yangu bado haijaimarika kwani sasa hv kifua kinauma sana hasa nikikohoa na pia nimepoteza harufu kabisa sipati harufu ya kitu chochote ila hali ya kupata maumivu makali ya mwili pamoja na tonsils kuuma imeisha
Kwa yeyote aliyepita hali hii au anaweza kunisaidia namna yoyote ya kufanya kwani naumia sana.(Ninatumia pia mchanganyiko wa wa juice ya malimao na tangawizi )
 
Mkuu usijiulize mara mbili nenda hospitali inayojielewa (Private) directly waambie dalili za UVIKO-19 upo Nazo wakupatie matibabu au anza kujitibia haraka sana.

UVIKO-19 kuipiga ni lazima uwahi dalili zake za awali..
Nimekuta wameniambia nimonia na wamenianzishia dozi saizi naona naricover mdogo mdogo.

Sasa jamaa wananinyanyapaa eti mtu mzima ukisikia nimonia wanajua no uviko 19 but Dr kaniambia sio uviko 19
 
Pole sana, wish you a speedy recovery.
Pole mzee.

Samahani, kwa mimi niliye Tz nikitaka kununua game playstation store ukiachilia option ya kununua akaunti za watu online nina option nyingine ya kuweza kununua game?
 
Nimekuta wameniambia nimonia na wamenianzishia dozi saizi naona naricover mdogo mdogo.

Sasa jamaa wananinyanyapaa eti mtu mzima ukisikia nimonia wanajua no uviko 19 but Dr kaniambia sio uviko 19
Assume ni Covid una Mild symptoms, upo safe, ila ukiskia tatizo la kupumua ni serious wahi kwa Wataalamu wa afya,

Nafahamu wengi na personal experience hio ni Delta, inakuja na viungo kuuma, usiku ukilala kila upande sio, Homa,kichwa then dalili zikiisha ndio yanakuja mafua/kifua.
 
Hujaenda Hosp!! Mimi nilikaa nayo kuja kustukia sipumui na x ray ikaonesha mapafu yameanza kuharibika. Nenda hosp upewe dozi
 
Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…