JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Anasema anahisi damu ni ya baridi. Mpe pole usimbishie.Nilifikiri umekufa kumbe bado unapambana tu! Kelele nyingiiii kumbe hata kupima hujapima!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema anahisi damu ni ya baridi. Mpe pole usimbishie.Nilifikiri umekufa kumbe bado unapambana tu! Kelele nyingiiii kumbe hata kupima hujapima!!
Katiba iliyopo inatosha mkuu sasa hivi tunahangaika na kuimarisha uchumi. Kuhusu Corona tutaishi nayo kwa muda mrefu hata Baba zako WHO wameshasema. Hivyo fanyakazi achana na corona
Sasa umejuaje kama ni corona?Sijapata confirm maana daktari alinambia ni wimbi la mafua na kunipatia dawa za flu na kikohozi. | Najitibia kwa kufuata kanuni mbalimbali toka vyanzo mbalimbali.
Katiba iliyopo inatosha mkuu sasa hivi tunahangaika na kuimarisha uchumi. Kuhusu Corona tutaishi nayo kwa muda mrefu hata Baba zako WHO wameshasema. Hivyo fanyakazi achana na coronaWewe nawewe chawa wa mwendazake umeshatia timu. Tunajua kama mlivyo:
1. Corona haipo
2. Hamtaki katiba mpya.
Tunasubiri wale wa mambo ya mikopo na misaada ya IMF. Bila shaka wako njiani.
Tapeli la chanjo wewe huna lolote!Kupambana na COVID-19 hutakiwi kucheka na watu wapumbavu, unaweka strictly rules na ni lazima kufuatwa ndio tutaweza kuondosha.
Katiba iliyopo inatosha mkuu sasa hivi tunahangaika na kuimarisha uchumi. Kuhusu Corona tutaishi nayo kwa muda mrefu hata Baba zako WHO wameshasema. Hivyo fanyakazi achana na corona
Kadungwe, unasubiri nini?Bado sijapata chanjo.
Kama kweri una nia ya kusaidia watu wajifunze zaidi ungesema upo wapi hujaweka wazi sehemu uliyopo na huja kwenda hospital kupima unajihisi tu tutajua je sasa mkuu.Habari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika nchi...
Poleni sanadaahh rangi ya bluu ni kwamba oxgen level ilikuwa chini sana.
huu ugonjwa toka mwaka umeanza umeshaondoka na 4 family members akiwemo mamaangu!!
na hapa sshv naongea mwingine amelazwa na ventilator juu...
acheni maskhara kbs.
Kwanza pole sana. Kupata hio ugonjwa haimaanishi kifo.
Kwamba uko hai hadi sasa kwa sababu ni mtu wa mazoezi?
Hakuna cha mazoezi hapo, ni Mungu tu anamlinda, akiamua kumchukua anamchukua na mazoezi yake.
Covid-19 ni hatari, tujilinde na tuachane na mikusanyinyiko isiyo ya lazima, vaa barakoa nawa mikono kila wakati.
Mama wa watu anajitahidi kuhimiza lakini kuna viumbe bado vinamuona mpumbavu, wanamtukana na kumuona hana nia nzuri kwa wananchi.kwani haijawafikia tayari? mbona viongozi kina Kijazi waliondoka nayo? Basi tu hatuna waziri wa afya makini..alikua anahimiza nyungu..sasa hivi Rais yuko makini ndio kaanza kuhuburi watu wachukue tahadhari...matokeo yake watu wanapuuza guidelines...chanjo inaonekana kama sijui duddu gani
Yes! The Monk na BlackPanther ni Mungu ndiye anawezesha haya. Swali la monk nilijibu kwa tanabiha maana kwangu uwezo na utendaji wa Mungu upo automatically siku zote sioni kama jambo geni kutaja.Si ndio maana nimeuliza hapo kwamba kamanda bado anapumua kwa sababu anapiga mazoezi, nikasema kumbe watu kufa wanajitakia tu...
Watu wanataka sifa kwamba wao ni survivors wa UKOVI 19Sasa umejuaje kama ni corona?
Alaaah?...
TIBA YA CORONA VIRUS NA HOMA YA MAPAFUHabari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika nchi...
mkuu unataka kusema kwamba wale wanaopumulia ventilator walishindwa kupata hii dawa?labda uniambie inatibu kwa dalili za awali za covid 19TIBA YA CORONA VIRUS NA HOMA YA MAPAFU
lita 1 ya maji ya moto.
Vitunguu Saumu 15...
Sio kila mtu anapenda kutumia dawa za asili kuna watu wana pesa zao hawataki kutumia dawa ya asili kuna masikini kama wewe au mimi sisi ni wajanja ndio tunao tumia dawa za na Asili.mkuu unataka kusema kwamba wale wanaopumulia ventilator walishindwa kupata hii dawa?labda uniambie inatibu kwa dalili za awali za covid 19
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Mwendazake aliwatia watu aumu kuwa COVID-19 Ni mchezo wa kuigizaHabari 👋🏾
Kumekuwa na hali ya watu wengi kupuuza na kutokuchukua tahadhari ya ugonjwa wa UVIKO na wengine wakienda mbali kudai hakuna ugonjwa kama huo. Napenda kuwaambia COVID-19 deadly Delta yupo Tanzania na kila mahali, nimepatwa na ugonjwa ilhali nipo eneo lilotengwa na pembezoni katika nchi...
You will be and You're what you think in your mind.
Ugua pole mate[emoji110]
ooh hapo sawa nimekupata vemaSio kila mtu anapenda kutumia dawa za asili kuna watu wana pesa zao hawataki kutumia dawa ya asili kuna masikini kama wewe au mimi sisi ni wajanja ndio tunao tumia dawa za na Asili. Maradhi ya Corona ukingojea mpak umezidiwa ndio utumie dawa huwezi tena kupona .Ukiona dalili tu tumia hiyo dawa utapona haraka.Usingojee Mpaka Mvua imekunyeshea ndio unatafuta taulo ya kujifutia.