mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Siku za hivi karibuni ,nimejikuta napata faraja Kila nikilitamka neno Tanganyika. Najisikia fahari sana kujitambulisha mbele za watu hususani wageni kama MTanganyika na sio mTanzania..
Inanifanya nijihisi karibu zaidi na asili yangu , chimbuko langu, wazee wangu na watu wetu wazuri ..Kila nikilisikia neno Tanganyika nakua connected moja kwa moja na kila kitu kuhusu watu wetu wazuri...I truly love my country people,!!.
Mimi ni MTanganyika kabla sijatapeliwa na kuitwa MTanzania,, so take me back to my roots.. Mimi ni MTANGANYIKA