Napata changamoto katika kuconfirm chuo

Napata changamoto katika kuconfirm chuo

Mantais

New Member
Joined
Oct 7, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Naomba msaada,

Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
 
Naomba msaada,

Nimechaguliwa multiple selection ila napo confirm naambiwa kwa kutumia code niliyotumiwa na TCU naambiwa invalid confirmation code
Pole,
Nafikiri hiyo code ina muda wake wa kuisha (expiry); kwa hiyo jaribu kuitumia mapema unapotumiwa au vinginevyo uwasiliane na TCU wenyewe.
 
Vijana wanachekelea sana week nzima badala ya kuconfirm chuo chap
 
Back
Top Bottom