georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,118
- 1,875
wasiliana na huyu mzee MziziMkavusasa mkuu nifanyeje kujinasua?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasiliana na huyu mzee MziziMkavusasa mkuu nifanyeje kujinasua?
Hana presure wala kisukari,ana umbile la kawaida kama kilo 80. Ni mwnwsheria haimchoshi sana,ana madeni anayolipa kwa shida,na mkate wake wa siku ana mudu ingawa haulingani na hadhi yake..Mkewe hushutumu sana kuwa ana mahawala,ingawa yeye anasema hana.cha ziada amewahi kufanya musterbation sana kabla hajaoa na pia akiwa chuoni miaka 15 ilopita.
Asante sana ,ushauri wako ni wa msingi sana.Pole sana mkuu, Niliuliza ili wadau wenye solution waweze kushauri specifically.
Cha kwanza ambacho ningem(ku)shauri ni mazoezi, tendo zima kwa mwanaume linachagizwa sana na flow nzuri ya damu mwilini, So mazoezi husaidia sana katika hili. na mazoezi kujenga (endurance ya misuli/mwili) so kama tendo lilikua linamchukua dakika 2 inaweza kwenda nusu saa au zaidi bila yeye pia kuchoka kulingana na mazoezi anayofanya . (maana wasio na mazoezi hata ya kutembea hufika haraka sana, huchoka haraka na wengine huishia kupepesuka maana hawana stamina ya kutosha) mazoezi pia huondoa misongo ya mawazo mkuu.
Pili anapaswa kuushinda woga alio nao ndani yake juu ya tendo zima, kwa kuwa na fikra chanya kuwa anaweza sana na alenge kuchelewa kufika kileleni katika mawazo yake, pia imagination inahusika sana- kujenga picha ya tukio zima kichwani. (hii ni kama mbegu, ukipanda hata kwenye jiwe itaota, kwa hiyo akijitahidi itakuwa kama anavyodhamiria moyoni)
Tatu, ajitahidi kuconcentrate na tendo. na ikiwezekana awe anabadilisha mazingira ya tukio kadri itakavyowezekana.
Nne, masterbation huchangia sana uume kukosa nguvu na kwa kuwa mfanyaji mara nyingi hutumia nguvu kuliko inavyotakikana, so mazoezi hapa ni njia sahihi zaidi na kujenga hisia chanya juu ya uwezo wake.
Pia ajitahidi sana kula vyakula vyenye proteins kama nyama (michemsho ni mizuri zaidi kuliko rosti), samaki, karanga, maharage na jamii ya kunde, mayai n.k kulingana na wataalamu watavyoendelea kushauri.
unfortunately mimi ni mtaalamu wa biashara, so wataalamu wa sayansi ya mwili watashauri vizuri zaidi.
Mkuu ungefunguka zaidi kidogo unavyomfahamu Anko,
vipi ana blood pressure, kama ndio low/high? au ana kisukari? vipi kuhusu afya yake, ni menene sana au kawaida? vipi kuhusu kazi anayofanya, humchosha sana kimwili na kiakili au vipi? anamudu mkate wake wa siku? ana ugomvi ambao haujasuluhishwa na mkewe? ana madeni yanayomsumbua sana etc etc
Mkuu ukitupa hizo dots kidogo tunaweza kupata njia au kushauri namna ya kupata njia kwa ufasaha zaidi.
utadhania yeye ndio uncle vile.Yani unamjua anko wako utadhani ni wewe mwenyewe. Duh!
utadhania yeye ndio uncle vile.
lakini inawezekana tatizo ni la kisakiolijia zaidi, ebu ajaribu kupata counselling kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano kutoka kwa wanasaikolojia anaweza kurekebisha hilo tatizo, pia kama anaendelea na master ajaribu kuacha, kwani master huwaina romance
embu funguka mkuu??? mshipa gan huo??Kwa matatatizo hayo ni vyema huyo anko wako akatumia juice ya parachichi,na tende isangwe kwenye blenda kwa maziwa fresh na sukari yake iwe asali kila asubuhi mchana na jioni apate glass moja,kwa waliofanya sana master whetever enzi hizo inabidi wake zao wawe na utalaam wa kushika mishpa flani wakati wa romance imejificha sana hadi kwa mtaalam anaejua mambo hayo atakaposhika pia kwa utaalam wa hali ya juu sana basi mwendo mdundo ndoa itakaa vizuri.Nawakilisha.
hili tatizo mara nyingi ni psychological kuliko physical kupunguza msongo wa mawazo ndio dawa kubwa . . .ila pia kama anatumia pombe hasa bia laini kama castle lite aache kwa muda, ale vyakula kama samaki, asali,mayai, supu ya kuku na njegere, karanga na peanut butter na afanye mazoez kama kuruka kamba n.k.