Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

Napata hamu ya tendo la ndoa lakini nikikaribia naishiwa nguvu ya kuendelea

Hana presure wala kisukari,ana umbile la kawaida kama kilo 80. Ni mwnwsheria haimchoshi sana,ana madeni anayolipa kwa shida,na mkate wake wa siku ana mudu ingawa haulingani na hadhi yake..Mkewe hushutumu sana kuwa ana mahawala,ingawa yeye anasema hana.cha ziada amewahi kufanya musterbation sana kabla hajaoa na pia akiwa chuoni miaka 15 ilopita.

Ndugu yangu we sema ni wewe mwenyewe tu ili usaidiwe na watu vizuri si kusingizia uncle halafu eti umjue hadi kafanya musterbation kwa muda gani, ahahahahaaaa! Samahani ila tu umenifurahisha kuzijua hizo details za mtu 'mwingine' utadhani zako!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole sana mkuu, Niliuliza ili wadau wenye solution waweze kushauri specifically.

Cha kwanza ambacho ningem(ku)shauri ni mazoezi, tendo zima kwa mwanaume linachagizwa sana na flow nzuri ya damu mwilini, So mazoezi husaidia sana katika hili. na mazoezi kujenga (endurance ya misuli/mwili) so kama tendo lilikua linamchukua dakika 2 inaweza kwenda nusu saa au zaidi bila yeye pia kuchoka kulingana na mazoezi anayofanya . (maana wasio na mazoezi hata ya kutembea hufika haraka sana, huchoka haraka na wengine huishia kupepesuka maana hawana stamina ya kutosha) mazoezi pia huondoa misongo ya mawazo mkuu.

Pili anapaswa kuushinda woga alio nao ndani yake juu ya tendo zima, kwa kuwa na fikra chanya kuwa anaweza sana na alenge kuchelewa kufika kileleni katika mawazo yake, pia imagination inahusika sana- kujenga picha ya tukio zima kichwani. (hii ni kama mbegu, ukipanda hata kwenye jiwe itaota, kwa hiyo akijitahidi itakuwa kama anavyodhamiria moyoni)

Tatu, ajitahidi kuconcentrate na tendo. na ikiwezekana awe anabadilisha mazingira ya tukio kadri itakavyowezekana.

Nne, masterbation huchangia sana uume kukosa nguvu na kwa kuwa mfanyaji mara nyingi hutumia nguvu kuliko inavyotakikana, so mazoezi hapa ni njia sahihi zaidi na kujenga hisia chanya juu ya uwezo wake.

Pia ajitahidi sana kula vyakula vyenye proteins kama nyama (michemsho ni mizuri zaidi kuliko rosti), samaki, karanga, maharage na jamii ya kunde, mayai n.k kulingana na wataalamu watavyoendelea kushauri.

unfortunately mimi ni mtaalamu wa biashara, so wataalamu wa sayansi ya mwili watashauri vizuri zaidi.
Asante sana ,ushauri wako ni wa msingi sana.
 
Mwambie akupe full HPI- History of Presenting Illness, then sisi tutiririke kisawasawa.
 
Kwa matatatizo hayo ni vyema huyo anko wako akatumia juice ya parachichi,na tende isangwe kwenye blenda kwa maziwa fresh na sukari yake iwe asali kila asubuhi mchana na jioni apate glass moja,kwa waliofanya sana master whetever enzi hizo inabidi wake zao wawe na utalaam wa kushika mishpa flani wakati wa romance imejificha sana hadi kwa mtaalam anaejua mambo hayo atakaposhika pia kwa utaalam wa hali ya juu sana basi mwendo mdundo ndoa itakaa vizuri.Nawakilisha.
 
Mkuu ungefunguka zaidi kidogo unavyomfahamu Anko,

vipi ana blood pressure, kama ndio low/high? au ana kisukari? vipi kuhusu afya yake, ni menene sana au kawaida? vipi kuhusu kazi anayofanya, humchosha sana kimwili na kiakili au vipi? anamudu mkate wake wa siku? ana ugomvi ambao haujasuluhishwa na mkewe? ana madeni yanayomsumbua sana etc etc

Mkuu ukitupa hizo dots kidogo tunaweza kupata njia au kushauri namna ya kupata njia kwa ufasaha zaidi.

safi sana mkuu ,na kuongezea je anamatatizo kazini ? ,ni mwisho wa mwaka huu je anamawazo january atawapeleka vipi watoto shule? je anamuhisia mkewe chochote kibaya? je ameshawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa? je kuna jambo lolote baya ametendwa na mwanamke wake nje ya ndo mpaka kumfanya awe na msongo wa mawazo?

kwa kifupi mkuu akaonane na daktari (physician) arule out medical problem them aende kwa psychiatrist au psychologist japo kuwa sexologist angekuwa bomba zaidi ila kwa hapa bongo hawapo.
 
Yani unamjua anko wako utadhani ni wewe mwenyewe. Duh!
utadhania yeye ndio uncle vile.
lakini inawezekana tatizo ni la kisakiolijia zaidi, ebu ajaribu kupata counselling kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano kutoka kwa wanasaikolojia anaweza kurekebisha hilo tatizo, pia kama anaendelea na master ajaribu kuacha, kwani master huwaina romance
 
utadhania yeye ndio uncle vile.
lakini inawezekana tatizo ni la kisakiolijia zaidi, ebu ajaribu kupata counselling kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano kutoka kwa wanasaikolojia anaweza kurekebisha hilo tatizo, pia kama anaendelea na master ajaribu kuacha, kwani master huwaina romance

HA HA HA eti master haina romance, msemo mwingine wa daladala huu, aisee cacasi nimecheka.
 
Last edited by a moderator:
Kwa matatatizo hayo ni vyema huyo anko wako akatumia juice ya parachichi,na tende isangwe kwenye blenda kwa maziwa fresh na sukari yake iwe asali kila asubuhi mchana na jioni apate glass moja,kwa waliofanya sana master whetever enzi hizo inabidi wake zao wawe na utalaam wa kushika mishpa flani wakati wa romance imejificha sana hadi kwa mtaalam anaejua mambo hayo atakaposhika pia kwa utaalam wa hali ya juu sana basi mwendo mdundo ndoa itakaa vizuri.Nawakilisha.
embu funguka mkuu??? mshipa gan huo??
 
Nenda hospitali kawaone wataalam adaktari wakusaidie.:target:
 
hili tatizo mara nyingi ni psychological kuliko physical kupunguza msongo wa mawazo ndio dawa kubwa . . .ila pia kama anatumia pombe hasa bia laini kama castle lite aache kwa muda, ale vyakula kama samaki, asali,mayai, supu ya kuku na njegere, karanga na peanut butter na afanye mazoez kama kuruka kamba n.k.

Hayo maelezo ni mazuri sana kuzingatia. Tatizo kama hilo likishindikana kuondoka kabisa nakushauri asiende kutumia dawa za mitaani na za waganga wa kienyeji sbb hazijathibitishwa maabara na kupitishwa na mamlaka husika. Soma maelezo ya lishe muhimu zilizoandaliwa kwa ajili ya kuondoa tatizo kama hilo na kuendelea kufurahia maisha yake.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;


  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum

Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;


  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid

Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.


  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).

Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM


  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo


WASIOPASWA KUTUMIA


  • Wajawazito
  • Wanaonyonyesha
  • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
  • Watoto chini ya miaka 14




REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE


  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS


  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA


  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA


  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI


  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Yeyote mwenye swali/anayetaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama za CA+FE+ZI Plus ni 51000/- MAGILIM ni 62500/- na REVIVE ni 60500/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 45
  • REVIVE.jpg
    REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 52
  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 51
Back
Top Bottom