Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Kujua au kutokujua yote yaweza kuwa majibu.Unahisi waliompa siraha na kumruhusu hawakujua hayo?
Mwisho wa siku mwenye maamuzi ya kushambulia au kuto kushambulia ni Ukraine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujua au kutokujua yote yaweza kuwa majibu.Unahisi waliompa siraha na kumruhusu hawakujua hayo?
Russia kupoteza mkoa hilo sahau kabisa yaaniKursk kuanguka una maanisha imeanguka au kama itatokea ikaanguka.. For my information Ukraine army wana retreat back due to heavy fight from Wagner na Russian army and within this week mtapata habari kamili.
Ila mass of Nato weapons, air defense and tanks vimekuwa destroyed kwa wingi sana in Kursk so it seems like Nato this time wameamua kweli kweli kumfanya mbaya bwana Putin.
Kama Putin na Russia kwa ujumla watashindwa kutoa adhabu kali kwa Ukraine na ikawa funzo kwa Nato nzima basi naamini Russia ijiandae kuvamiwa zaidi hapo mbeleni na kupoteza Mikoa yake mengine.
Ni kitu gani ambacho Russia atakifanya nje ya yale alofanya Ukraine mbali na kutumia Nuclear Ukraine? Alibakisha kutumia Nuclear Ukraine tu ila kitu ameshafanya.Ukraine ana halalisha uvamizi wa Urusi katika mipaka yake.
Ukraine alipaswa kumfukuza Urusi katika mipaka yake na sio kuvamia mipaka ya Urusi kama Urusi alivyofanya kwake.
Sina hakika sana juu ya silaha hizo za maangamizi ila ninachoona ni Urusi kupata support zaidi ya kuingamiza Ukraine kupitia uvamizi huu.
Support ya ndani na ya nje kwa washirika wake na hata wasio washirika wake.
Urusi atasema najilinda dhidi ya uvamizi wa Ukraine atautumia udhaifu huu kuleta maafa sijajua ni kipi makamanda na majeshi ya Ukraine wanacho fikiri.
After few weeks Russia alipovamia Ukraine. NATO wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisupport Ukraine. Sehemu kubwa ya watu tukasema wazungu wanazingua, Ukraine hawezi maliza miezi miwili akipambana na Russia.Putin anapukuchuliwa taratibu mpaka ataisha.
West wanampukuchua Putin kwa akili sana.
Angalia walianza kumpa Ukrain silaha ndogo ndogo ila kadiri siku zinavyozidi kwenda wanaongeza uzito wa silaha, ni kama vile mtoto unaanza kumpa Uji baadae ugali.
Mwanzo Marekani ilikuwa inawambia Ukrain marufuku kushambulia ndani ya Rusia, ila sasa hivi Ukrain ruksa kushambulia Rusia.
Mwishowe tutaanza kuona makombora yakitua Moscow hapo ndio Putin atashtuka kwamba kumbe kapukuchuliwa kweli.
Nmeshangaa sana Putin kaishiwa makombora hadi anaomba kutoka Iran.
Vita ni gharama, lakin wafuasi wa Putin ukiwambia hili kwamba Urusi baadae itakuwa hohehae wana bisha ila muda utaongea
Ikiwa Ukraine itaamua kusonga mbele, basi watasonga mbele hapo Kursk. Na hii ndio mbinu nzuri zaidi kwao ili kupunguza makali ya mashambulizi anayofanyiwa kwake.Kursk kuanguka una maanisha imeanguka au kama itatokea ikaanguka.. For my information Ukraine army wana retreat back due to heavy fight from Wagner na Russian army and within this week mtapata habari kamili.
Ila mass of Nato weapons, air defense and tanks vimekuwa destroyed kwa wingi sana in Kursk so it seems like Nato this time wameamua kweli kweli kumfanya mbaya bwana Putin.
Kama Putin na Russia kwa ujumla watashindwa kutoa adhabu kali kwa Ukraine na ikawa funzo kwa Nato nzima basi naamini Russia ijiandae kuvamiwa zaidi hapo mbeleni na kupoteza Mikoa yake mengine.
NATO haitaruhusu Ukraine imezwe na Putin. NATO bado haijatoa askari wake rasmi kwenda Ukraine, bado haijatoa ndege za kutosha, long range missiles za kutosha, balistic missiles n.kKatibu mkuu wa NATO alisema vita hii itaamua usalama na mstakabali wa nchi za ulaya siku zijazo.
Kwa kauli hiyo utaelewa nini kinaendelea hapo Ukrain na Rusia
Unahitaji nini ili kupiga na kulinda hayo maeneo kwa muda mrefu?Ukraine hana army ya kupiga russia kwa mda mrefu na kulinda maeneo anayo chukua na ku defend ndani kwenye maeneo yenye vita kwa wakati mmoja
Ukraine amejaribu kumuonesha Russia kuwa maumivu ya kushambuliwa kwako kabisa yanaumaje....Ukraine ana halalisha uvamizi wa Urusi katika mipaka yake.
Ukraine alipaswa kumfukuza Urusi katika mipaka yake na sio kuvamia mipaka ya Urusi kama Urusi alivyofanya kwake.
Sina hakika sana juu ya silaha hizo za maangamizi ila ninachoona ni Urusi kupata support zaidi ya kuingamiza Ukraine kupitia uvamizi huu.
Support ya ndani na ya nje kwa washirika wake na hata wasio washirika wake.
Urusi atasema najilinda dhidi ya uvamizi wa Ukraine atautumia udhaifu huu kuleta maafa sijajua ni kipi makamanda na majeshi ya Ukraine wanacho fikiri.
Russia wa kawaida sana.... Tumeona miaka inakatika Ukraine yupo na Ukraine kumuonesha Russia kuwa tunayaweza ameamua kuingia ndani ya Russia kukiwasha.... Slava UkrainUnadhani RUSSIA hawana akili kama merekani eeenh
Merekani ndio wanahuo ujinga nasababu sio hodari kwenye uwanja wa vita
Suala la Nyuklia hapo UKRAINE usahau kijana
Putin haez fanya hivyo maana anajuwa sababu ya kuvamiwa hivyo ni kumchochea atumie silaha nzito ili Ukraine atumie midude yake pia ndani ya Urusi halaf wanancho waanze kuhoji umuhimu wa Putin kuendeleza vita inayowagharimu raia wakeWengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi kama vile Crimea basi jeshi Urusi litajibu maradufu kwa kuvurumisha mvua ya makombora hadi ya supersonic kila mahali ndani ya Ukraine, Kyiv na miji mingine ilikuwa inashambuliwa sana kuanzia hospitali hadi shule za nursery za watoto.
Nimeshangaa kuona kuona kuna uvamizi au SMO ya wiki mbili sasa ndani ya mipaka ya Urusi katika eneo la Kursk majeshi ya Ukraine yakijivinjari ndani ya mipaka ya Urusi na kupelekea wakimbizi wa ndani wa Urusi zaidi ya 20,000 huku tukiwa hatujaona majibu ya majeshi ya Urusi mpaka sasa! Hii sio kawaida ya Putin kabisa ukizingatia mbele kidogo ya eneo hili kuna bomba la gesi linalopitisha 50% ya gesi kupeleka nje ya nchi.
Labda Putin ameisha amekuwa mdebwedo kabisa baada ya mipango yote ya uvamizi kuvurugika na kwenda mrama. Vinginevyo kuna uwezekano mkubwa anaandaa shambulizi "barbaric" la nuclear.
First of all haito tokea hiyo kitu why? Hawez kutumia nuclear kwenye ardhi ya nyumbani. Ita cost political image yake, and maybe kama hataki eneo likaliwe na wakazi hao tenaWengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi kama vile Crimea basi jeshi Urusi litajibu maradufu kwa kuvurumisha mvua ya makombora hadi ya supersonic kila mahali ndani ya Ukraine, Kyiv na miji mingine ilikuwa inashambuliwa sana kuanzia hospitali hadi shule za nursery za watoto.
Nimeshangaa kuona kuona kuna uvamizi au SMO ya wiki mbili sasa ndani ya mipaka ya Urusi katika eneo la Kursk majeshi ya Ukraine yakijivinjari ndani ya mipaka ya Urusi na kupelekea wakimbizi wa ndani wa Urusi zaidi ya 20,000 huku tukiwa hatujaona majibu ya majeshi ya Urusi mpaka sasa! Hii sio kawaida ya Putin kabisa ukizingatia mbele kidogo ya eneo hili kuna bomba la gesi linalopitisha 50% ya gesi kupeleka nje ya nchi.
Labda Putin ameisha amekuwa mdebwedo kabisa baada ya mipango yote ya uvamizi kuvurugika na kwenda mrama. Vinginevyo kuna uwezekano mkubwa anaandaa shambulizi "barbaric" la nuclear.
Kalingard haina threat kwa NATO, NATO wanaangalia threat kubwa inatokea wapi si kukurupuka. Haya mambo yanapangwaRussia kupoteza mkoa hilo sahau kabisa yaani
Kama nato wanataka kuivamia nakuichukua mikoa ya russia wangeenda kuuchukua mkoa wa Ujerumani unaokaliwa na Russia pale Kaliningrad ila hawathubutu
Dozi anayoitoa Russia hapo kursk itawafanya NATO na shost zake waione Russia kama motoni
Maeneo mangapi hizo hesabu zimefeli?After few weeks Russia alipovamia Ukraine. NATO wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisupport Ukraine. Sehemu kubwa ya watu tukasema wazungu wanazingua, Ukraine hawezi maliza miezi miwili akipambana na Russia.
Sasa hivi vita inatembea mwezi wa pili na nusu unatafutwa mwezi wa 3. Mzungu huwa anatumia akili nyingi sana kupiga hesabu zake.
Atakizima mwenyewe baada ya kukiwashaRussia wa kawaida sana.... Tumeona miaka inakatika Ukraine yupo na Ukraine kumuonesha Russia kuwa tunayaweza ameamua kuingia ndani ya Russia kukiwasha.... Slava Ukrain
Ndio mnavyojidanganya watumie midude gani 😀Putin haez fanya hivyo maana anajuwa sababu ya kuvamiwa hivyo ni kumchochea atumie silaha nzito ili Ukraine atumie midude yake pia ndani ya Urusi halaf wanancho waanze kuhoji umuhimu wa Putin kuendeleza vita inayowagharimu raia wake
Ndio ulivyodanganywa😀Kalingard haina threat kwa NATO, NATO wanaangalia threat kubwa inatokea wapi si kukurupuka. Haya mambo yanapangwa
Respect💪💪💪Ungekuwa na simu au internet ya kuandika haya hapa??