Napata harufu ya matumizi ya Nyuklia Ukraine baada ya Kursk kuanguka

Ukraine hana army ya kupiga russia kwa mda mrefu na kulinda maeneo anayo chukua na ku defend ndani kwenye maeneo yenye vita kwa wakati mmoja
 
Russia kupoteza mkoa hilo sahau kabisa yaani

Kama nato wanataka kuivamia nakuichukua mikoa ya russia wangeenda kuuchukua mkoa wa Ujerumani unaokaliwa na Russia pale Kaliningrad ila hawathubutu

Dozi anayoitoa Russia hapo kursk itawafanya NATO na shost zake waione Russia kama motoni
 
Hawezi shambulia miji yake, ili iwe magofu? Akisema huo mji ajibu mapigo bado Ukraine itafanya huo mji iwe magofu, kitendo cha Russia kuruhusu Ukraine aingie ktk mipaka yake imegharimu pakubwa.
 
Ni kitu gani ambacho Russia atakifanya nje ya yale alofanya Ukraine mbali na kutumia Nuclear Ukraine? Alibakisha kutumia Nuclear Ukraine tu ila kitu ameshafanya.

Akisema atumie Nuclear Ukraine, je anajuaje kwamba Ukraine hana silaha zingine nzito ambazo ataweza kuzidondosha hapo Russia.

Russia akimess up kidogo taifa linakufa, itakuja Russia nyingine mpya.
 
After few weeks Russia alipovamia Ukraine. NATO wakatenga bajeti ya miaka 5 kuisupport Ukraine. Sehemu kubwa ya watu tukasema wazungu wanazingua, Ukraine hawezi maliza miezi miwili akipambana na Russia.

Sasa hivi vita inatembea mwezi wa pili na nusu unatafutwa mwezi wa 3. Mzungu huwa anatumia akili nyingi sana kupiga hesabu zake.
 
Ikiwa Ukraine itaamua kusonga mbele, basi watasonga mbele hapo Kursk. Na hii ndio mbinu nzuri zaidi kwao ili kupunguza makali ya mashambulizi anayofanyiwa kwake.

Plan ya kuteka ardhi ya Russia ikifeli, yamkini watakuja na plan ya kupiga mabomu makali hapo Russia.

Kuna namna Ukraine anatafuta kumuadabisha Russia.
 
Katibu mkuu wa NATO alisema vita hii itaamua usalama na mstakabali wa nchi za ulaya siku zijazo.

Kwa kauli hiyo utaelewa nini kinaendelea hapo Ukrain na Rusia
NATO haitaruhusu Ukraine imezwe na Putin. NATO bado haijatoa askari wake rasmi kwenda Ukraine, bado haijatoa ndege za kutosha, long range missiles za kutosha, balistic missiles n.k
 
Tangu 1941 hakuna nchi imewahi kuingia Urusi kijeshi..Hitler mwenyewe alikoma mana Urusi ndio ilimmaliza kwa kichapo kikali mpaka akajiua..Namhurumia sana Huyu msanii atakula timbwli na sasa watamuua kabisa
 
Ukraine amejaribu kumuonesha Russia kuwa maumivu ya kushambuliwa kwako kabisa yanaumaje....
 
Unadhani RUSSIA hawana akili kama merekani eeenh

Merekani ndio wanahuo ujinga nasababu sio hodari kwenye uwanja wa vita

Suala la Nyuklia hapo UKRAINE usahau kijana
Russia wa kawaida sana.... Tumeona miaka inakatika Ukraine yupo na Ukraine kumuonesha Russia kuwa tunayaweza ameamua kuingia ndani ya Russia kukiwasha.... Slava Ukrain
 
Putin haez fanya hivyo maana anajuwa sababu ya kuvamiwa hivyo ni kumchochea atumie silaha nzito ili Ukraine atumie midude yake pia ndani ya Urusi halaf wanancho waanze kuhoji umuhimu wa Putin kuendeleza vita inayowagharimu raia wake
 
First of all haito tokea hiyo kitu why? Hawez kutumia nuclear kwenye ardhi ya nyumbani. Ita cost political image yake, and maybe kama hataki eneo likaliwe na wakazi hao tena
 
Kalingard haina threat kwa NATO, NATO wanaangalia threat kubwa inatokea wapi si kukurupuka. Haya mambo yanapangwa
 
Maeneo mangapi hizo hesabu zimefeli?
 
Russia wa kawaida sana.... Tumeona miaka inakatika Ukraine yupo na Ukraine kumuonesha Russia kuwa tunayaweza ameamua kuingia ndani ya Russia kukiwasha.... Slava Ukrain
Atakizima mwenyewe baada ya kukiwasha
Kwahio lini ukraine wanaitisha kura ya maoni pale kursk😀
 
Putin haez fanya hivyo maana anajuwa sababu ya kuvamiwa hivyo ni kumchochea atumie silaha nzito ili Ukraine atumie midude yake pia ndani ya Urusi halaf wanancho waanze kuhoji umuhimu wa Putin kuendeleza vita inayowagharimu raia wake
Ndio mnavyojidanganya watumie midude gani 😀

Unadhani kama ikitumiwa nyuklia pale ukraine utapatikana hata muda wa kuregesha majibu

Russia hawezi kutumia nyuklia sababu yeye sio mdhaifu kama marekani
 
Kalingard haina threat kwa NATO, NATO wanaangalia threat kubwa inatokea wapi si kukurupuka. Haya mambo yanapangwa
Ndio ulivyodanganywa😀

Nenda kagoogle threat ya kaliningrad kwa NATO halafu uje urudi usikurupuke na kuropoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…