Watanzania tuna maumivu makali sana kwa yaliyotokea. Hizi siasa sio kabisa.Zinaumiza mno
Wameiba uchaguzi
Wameuwa watu
Wamejiapisha kinguvu
Bunge halina meno
Mahakama ipo mfukoni Kwa mafisadi
Sasa wanauza KIA airport
Sisi Watanganyika ni maiti hatujielewi
Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa
Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno
Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na wengi wakiwa majumba
Watanganyika masikini hawana wa kuwatetea wameuliwa kionevu na watu waliotakiwa kuwalinda
Hakuna hata muuaji 1 aliyekamatwa, kushitakiwa na kuwajibishwa
Haya Leo limeibuka la kuuzwa Kwa KIA airport Kwa Oman
Hivi kweli Watanganyika milion 60 tunashindwa kusimamia na kuendesha airport yetu hadi wake wageni
Hapo KIA airport tanzanite ya Mererani na mazao ya Wanyama na wanyama pori wanaenda kupanda ndege kupelekwa Uarabuni
Yaani Kia imilikiwe na Oman jamani 😭
Brela mnasajili Transom Tanzania Limited ili kukwapua Rasimali za Watanganyika?
JWTZ na TISS wajibika kulinda Rasimali zetu
Mnakula mshahara wa Nini?
Hii nchi upumbavu umezidi
Shule hazina madawati, hospital hazina madawa, mabomba hayatoi maji na eti serikali ipo tu inatazama
Kweli kabisa mkuuSiasa inaumiza kuliko hata mapenzi
Hii nchi inahitaji mzalendo mmoja tu.
Inasikitisha mnoMkuu kma CCM na hao majambazi wakiendelea kwa mfumo huu…na hakuna njia ya kuwatoa kwa njia ya demokrasia, basi wajiandae na kundi la mfanano wa M23…ni swala la muda tu….ni timing bomb…na Bora hata ya Congo wanaiteka taratibu…uku kwetu wataiteka kwa kasi sana maana itapata support kubwa kutoka kwa wanajeshi maana kuna watakaoasi kuungana nao, wananchi wataona ni mashujaa na wakombozi…
Wengi. Huko peke Ako... Basi tu ndo hakuna namna tena.Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa
Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno
Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na wengi wakiwa majumbani
Watanganyika masikini hawana wa kuwatetea wameuliwa kionevu na watu waliotakiwa kuwalinda
Hakuna hata muuaji 1 aliyekamatwa, kushitakiwa na kuwajibishwa
Haya Leo limeibuka la kuuzwa Kwa KIA airport Kwa Oman
Hivi kweli Watanganyika milion 60 tunashindwa kusimamia na kuendesha airport yetu hadi waje wageni