Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba,
Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa

Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno

Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na wengi wakiwa majumbani

Watanganyika masikini hawana wa kuwatetea wameuliwa kionevu na watu waliotakiwa kuwalinda
Hakuna hata muuaji 1 aliyekamatwa, kushitakiwa na kuwajibishwa

Haya Leo limeibuka la kuuzwa Kwa KIA airport Kwa Oman

Hivi kweli Watanganyika milion 60 tunashindwa kusimamia na kuendesha airport yetu hadi waje wageni

Hapo KIA airport tanzanite ya Mererani na mazao ya Wanyama na wanyama pori wanaenda kupanda ndege kupelekwa Uarabuni

Yaani Kia imilikiwe na Oman jamani 😭
Brela mnasajili Transom Tanzania Limited ili kukwapua Rasimali za Watanganyika?

JWTZ na TISS wajibika kulinda Rasimali zetu
Mnakula mshahara wa Nini?
there is no room for terrorists in Tanzania, but there is no escape roots for criminals.
there is zero tolerance to enemies of Tanzanians peace and stability :NoGodNo:
 
there is no room for terrorists in Tanzania, but there is no escape roots for criminals.
there is zero tolerance to enemies of Tanzanians peace and stability :NoGodNo:
Peace and stability mkundv wa mama yako ,we endelea kupanua kvma yako hiyo kwemye makochi ya shemeji yako mseng€ WEWE
 
Mimi Pia najuta kwelikweli kufatilia siasa Mwaka huu..ata sijui nifanyeje ili niweze to go back to normal au ndo tumefika point of no return.
 
Back
Top Bottom