Napata hofu sana kuhusu hawa Galaxy

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Tuna timu nzuri sana wana Simba ila wasiwasi wangu unakuja kwenye perfomance ya baadhi ya wachezaji kukosa mwendelezo kwa kila mechi
1. Mzamiru kacheza vizuri sana kwenye mechi ya stars lakini hivi karbuni kwenye mechi za simba skuwa naelewa kipi kimemkumba maana ni kama hakuwa fit
2. Mkude hajacheza mechi yoyote ya ligi sasa napata wasiwasi mwingine kama tutakuwa na mahtaji nae kwa ile mechi na akatupa biriani tulolizoea wana lunyasi
3. Morrison huyu simwamini first half kama huwa analeta lle wanasimba tunalotaka, tatzo lake akibanwa kpnd cha kwanza anakuwa kama anapotea sjajua kwa nn huyu jamaa anatakiwa atupe raha kwa kuingia 2nd half
4. Mugalu huyu wa sasa ananipa wenge tu, sjui nani kamloga huyu mkongo man.
5. Kagere ndo kocha hataki kumuamini kabisa ni mpaka alazimishwe na malalamiko ya sisi mashabiki
6. Bocco nae kama amechoka maana nmemfuatilia kwa hizi mechi kadhaa lakini bado hana kile kitu
7. Peter banda ni mzur lkn namfananisha na kichezaji flan cha gongo open kiliitwa kalinyozi. Banda nguvu ni kikwazo

Weka mapungufu yako mwana simba ili tupush viongozi wasizubae kuwahimiza players tukaacha kywabeba tna utopolo mwakani maana tunawapenda sana ili wakatolewe tna 1st round mwakan
 
Usipate hofu kwasababu hso Galaxy ni vilaza tu hawana maajabu yeyote. Mngepangwa na timu ambayo iko organised kama vile Zanaco, Rivers, Tp Mazembe, Hororya, n.k basi ingekuwa ndio mwisho wa Simba. Ila kwa hawa Galaxy Simba inaweza kuwamudu. Ila mji pange haswa kwenye mkiingia kwenye makundi
 
Na Rivers unaiweka miongoni mwa hao vigogo kweli ndugu yangu, au sababu walitufunga sisi wananchi
 
Jambo kubwa zaidi tunatakiwa kuzuia tusifungwe goli nyingi kule kwao japokuwa hawana uwezo mkubwa sana wa kufunga maana hata mechi yao ya First Round walipita kwa aggregate ya 2-1 wakishinda goli mbili pale Botswana na wakafungwa moja CAR.

Tunachotakiwa kuwa nacho makini sana ni mipira ya kutengwa niliangalia mechi zao kadhaa kwenye set pieces wanaonekana wako vizuri.

Ukizingatia pia sisi tuna tatizo hilo la kucheza mipira ya kutenga japokuwa kwa hivi karibuni hatujaconced goli la kwenye set play.
 
Na Rivers unaiweka miongoni mwa hao vigogo kweli ndugu yangu, au sababu walitufunga sisi wananchi
Sijaweka kwenye vigogo bali nimewaweka kwenye list ya timu zilizokuwa organised. Mchezo wa mpira unaweza kuwa na wachezaji wazuri tupu lakini ukafungwa na timu ndogo tu isiyokuwa kubwa lakini wapo compacted. Rivers waliwekeza zaidi kwenye maandalizi wana muunganiko mzuri na match fitness waliweka Kambi Benin wakacheza michezo mingi ya kirafiki huko na As vita na Hororya pia walikuwa huko huko. Tofauti na Simba ambayo bado haijakaa sawa hadi sasa kocha anatafuta kikosi cha kwanza. Hiyo ndio point yangu
 
Mkuu kwa jinsi ulivyoona kiwango cha Simba kwenye mechi kadhaa walizocheza, akilini mwako unaamini wangeweza kuwatoa rivers kweli?
Uwezo wao ni wa kutoa yanga tu
 
Uwezo wao ni wa kutoa yanga tu
Hata Simba wangetolewa na Rivers kwasababu hawana kiwango cha kuitoa rivers. Japo mwanzoni tulijua simba wako imara zaidi ila tumeona performance yao ni ya kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…