Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
😂😂😂Usipate hofu kwasababu hso Galaxy ni vilaza tu hawana maajabu yeyote. Mngepangwa na timu ambayo iko organised kama vile Zanaco, Rivers, Tp Mazembe, Hororya, n.k basi ingekuwa ndio mwisho wa Simba. Ila kwa hawa Galaxy Simba inaweza kuwamudu. Ila mji pange haswa kwenye mkiingia kwenye makundi