Napata hofu sana kuhusu hawa Galaxy

Napata hofu sana kuhusu hawa Galaxy

Usipate hofu kwasababu hso Galaxy ni vilaza tu hawana maajabu yeyote. Mngepangwa na timu ambayo iko organised kama vile Zanaco, Rivers, Tp Mazembe, Hororya, n.k basi ingekuwa ndio mwisho wa Simba. Ila kwa hawa Galaxy Simba inaweza kuwamudu. Ila mji pange haswa kwenye mkiingia kwenye makundi
😂😂😂
 
Tuna timu nzuri sana wana Simba ila wasiwasi wangu unakuja kwenye perfomance ya baadhi ya wachezaji kukosa mwendelezo kwa kila mechi
1. Mzamiru kacheza vizuri sana kwenye mechi ya stars lakini hivi karbuni kwenye mechi za simba skuwa naelewa kipi kimemkumba maana ni kama hakuwa fit
2. Mkude hajacheza mechi yoyote ya ligi sasa napata wasiwasi mwingine kama tutakuwa na mahtaji nae kwa ile mechi na akatupa biriani tulolizoea wana lunyasi
3. Morrison huyu simwamini first half kama huwa analeta lle wanasimba tunalotaka, tatzo lake akibanwa kpnd cha kwanza anakuwa kama anapotea sjajua kwa nn huyu jamaa anatakiwa atupe raha kwa kuingia 2nd half
4. Mugalu huyu wa sasa ananipa wenge tu, sjui nani kamloga huyu mkongo man.
5. Kagere ndo kocha hataki kumuamini kabisa ni mpaka alazimishwe na malalamiko ya sisi mashabiki
6. Bocco nae kama amechoka maana nmemfuatilia kwa hizi mechi kadhaa lakini bado hana kile kitu
7. Peter banda ni mzur lkn namfananisha na kichezaji flan cha gongo open kiliitwa kalinyozi. Banda nguvu ni kikwazo

Weka mapungufu yako mwana simba ili tupush viongozi wasizubae kuwahimiza players tukaacha kywabeba tna utopolo mwakani maana tunawapenda sana ili wakatolewe tna 1st round mwakan
Dah hofu yako ilikuwa sahihi aisee pole sana
 
Usipate hofu kwasababu hso Galaxy ni vilaza tu hawana maajabu yeyote. Mngepangwa na timu ambayo iko organised kama vile Zanaco, Rivers, Tp Mazembe, Hororya, n.k basi ingekuwa ndio mwisho wa Simba. Ila kwa hawa Galaxy Simba inaweza kuwamudu. Ila mji pange haswa kwenye mkiingia kwenye makundi

Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usipate hofu kwasababu hso Galaxy ni vilaza tu hawana maajabu yeyote. Mngepangwa na timu ambayo iko organised kama vile Zanaco, Rivers, Tp Mazembe, Hororya, n.k basi ingekuwa ndio mwisho wa Simba. Ila kwa hawa Galaxy Simba inaweza kuwamudu. Ila mji pange haswa kwenye mkiingia kwenye makundi
umewaona vilaza jana?
 
Yes, that's football, you can't expect to win every time you play so Simba must swallow that bitter 💊.

Their best wasn't enough and they've fallen to the better side. Let them brace well for the confederation cup now.
 
Usipate hofu kwasababu hso Galaxy ni vilaza tu hawana maajabu yeyote. Mngepangwa na timu ambayo iko organised kama vile Zanaco, Rivers, Tp Mazembe, Hororya, n.k basi ingekuwa ndio mwisho wa Simba. Ila kwa hawa Galaxy Simba inaweza kuwamudu. Ila mji pange haswa kwenye mkiingia kwenye makundi
🤔🤔🤔
 
Back
Top Bottom