Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Tuna timu nzuri sana wana Simba ila wasiwasi wangu unakuja kwenye perfomance ya baadhi ya wachezaji kukosa mwendelezo kwa kila mechi
1. Mzamiru kacheza vizuri sana kwenye mechi ya stars lakini hivi karbuni kwenye mechi za simba skuwa naelewa kipi kimemkumba maana ni kama hakuwa fit
2. Mkude hajacheza mechi yoyote ya ligi sasa napata wasiwasi mwingine kama tutakuwa na mahtaji nae kwa ile mechi na akatupa biriani tulolizoea wana lunyasi
3. Morrison huyu simwamini first half kama huwa analeta lle wanasimba tunalotaka, tatzo lake akibanwa kpnd cha kwanza anakuwa kama anapotea sjajua kwa nn huyu jamaa anatakiwa atupe raha kwa kuingia 2nd half
4. Mugalu huyu wa sasa ananipa wenge tu, sjui nani kamloga huyu mkongo man.
5. Kagere ndo kocha hataki kumuamini kabisa ni mpaka alazimishwe na malalamiko ya sisi mashabiki
6. Bocco nae kama amechoka maana nmemfuatilia kwa hizi mechi kadhaa lakini bado hana kile kitu
7. Peter banda ni mzur lkn namfananisha na kichezaji flan cha gongo open kiliitwa kalinyozi. Banda nguvu ni kikwazo
Weka mapungufu yako mwana simba ili tupush viongozi wasizubae kuwahimiza players tukaacha kywabeba tna utopolo mwakani maana tunawapenda sana ili wakatolewe tna 1st round mwakan