CCM HUYU MTU HAFAI KABLA HATA HAJAJADILIWA KWA FOMU YAKE YA KUTAKA KUWA MBUNGE...
RUSHWA kwenye chaguzi ni mbaya sana! Hatuwezi kukalia kimya matendo machafu sana anayoyafanya huyu mtu anajiita Fred Vunjabei huko Iringa.
Anatoa wapi hela ya kulipa madiwani 1,000,000/= TZS ,wenyeviti wa mitaa 500,000/= TZS ,na wajumbe wengine 250,000/= TZS? Yaani anamwaga fedha nyingi kiasi hiki kwa kuwa tu anautaka ubunge? Yaani huu ubunge unanunuliwa kwa hela nyingi kiasi hiki ili aufanyie nini?
Kama chama matendo ya aina hii yanatosha kumfukuza huyu mtu hata huo uanachama kwa kuwa anachokifanya huko Iringa ni hatari kwa ustawi wa chama na mshikamano wake na hawezi kufumbiwa macho kwa hali yoyote ile.
Hafai kuwa mbunge kabla haya hajajaza fomu yenyewe ya kuomba huo ubunge kwa kuwa anahonga watu fedha na ananunua watu kwa ajili ya kupata uongozi..
Sisi kazi yetu ni kuwasogezea hawa watu na mambo yao ya hovyo wanayoyafanya mengine mtayafanya huko ndani na kumalizana nao
# picha haihusiani na mada hapo juu#