Napata kizunguzungu kila nikiamka kutoka sehemu niliyokaa

Joined
May 17, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Hivi kupatwa na kizunguzungu wakati wa kuamka kutoka ulipokuwa umekaaa hii inasababishwa na nini? Na kiafya shida ni nini na nini madhara yake.
 
Liliwahi nipata mwaka jana hilo Mkuu, nikiwa nimelala nikiamka kizunguzungu, nikiwa nimekaa nikiamka kizunguzungu.It was for a week hivi, ilibidi nikaenda pima kila kitu, nikakutwa na Cholesterol nyingi sana Mwilini.

Nikapewa dawa za mwezi mzima lakini baada ya kuzitumia wiki nzima tatizo bado lipo.Nikaingia mtandaoni nika guggle how to remove bad Cholesterol in the body.

Nikaanza kukata vitunguu maji, vitunguu swaumu, parachichi nakula after a week mambo yakawa byee.Nikatupa dawa kule nikaendelea mazoezi saiz. Nipo fiti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…