Nasikia chadema wameingizwa kwenye mfumo.Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?π
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa.
Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Unasoma upotoshaji wa wanaccm huku mitandaoni, hadi unatumia upotoshaji huo kama sehemu ya mashaka yako. Lisu hajaombewa kutoka gerezani, bali anatakiwa aachiwe maana waliomfungulia kesi wameshindwa kuendelea na kesi. Ingekuwa kesi inaendelea kisha Heche akataka kesi isimame Lisu aachiwe, hapo shaka yako ingekuwa na msingi.Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?π
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa.
Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Lissu anatokaje gerezani ikiwa kesi yake haitafika mwisho na kutolewa hukumu.Unasoma upotoshaji wa wanaccm huku mitandaoni, hadi unatumia upotoshaji huo kama sehemu ya mashaka yako. Lisu hajaombewa kutoka gerezani, bali anatakiwa aachiwe maana waliomfungulia kesi wameshindwa kuendelea na kesi. Ingekuwa kesi inaendelea kisha Heche akataka kesi isimame Lisu aachiwe, hapo shaka yako ingekuwa na msingi.
Lisu ameweka masharti saba, nadhani huyajui. Hakuna popote Lisu anataka akae gerezani ili ww uamini yeye ni mpiganaji, siku zote kajitetea kwenye kesi yake hadi amewashinda, ila kwa sasa anakomolewa. Je unataka aendelee kukaa kimya ama wanacdm wakae kimya hadi serekali iamue kuendelea na kesi? Ni hivi juzi Heche kasema Lisu asipotendewa haki, cdm watafanya maandamano kutaka aachiwe. Je hilo hukusikia?
Ila keyboard warriors huwa mnanufurahisha sana..Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao
Kwadababu
1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.
Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?π
2. Media tour ya Heche pale Wasafi
Nilimuona Heche kwenye facial expression akiwa na furaha na ahadi.
Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.
Uso huongeza kuliko maneno
3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa.
Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe
4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo
Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni
5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo
6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa
7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho
8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume
Muhimu atoke tuje kupush agenda akiwa nje sio ndani peke ake na sisi wanaharakati wa mchongo tupo na mambo yetu huku tunalia kinafkiKweli
Hakuna anayependa Lissu akae gerezani
Lissu atoke kisheria na sio Heche kuomba huruma
Ubongo wa bata π¦Lissu ana familia yake pia kama wewe. Usifurahie baba wa familia kukaa gerezani huku wewe ukipost uharo hapaJF pembeni wanafamilia wakifurahia uwepo wako. Tanzania ni nchi huru na hakuna kitu cha kupambania. Kwa vyovyote Lissu na Heche wamegundua walipoteleza ndo maana wako tayari kwa mazungumzo. Ninamsihi Mama Samia amteue Lissu kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole.
Kwanini yupo ndani?Ila nyie watu lissu amekaa sana gerezani ni muda wa kutoka na yeye aishi kwenye uhuru hata huu kiduchu wa huku nje sio kule ndani
Hilo swali sio la kuuliza kama ni raia wa Tanzania na unaelewa ukosefu wa haki ulivyo kwa hii nchiKwanini yupo ndani?