Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
CHADEMA needs grace , kuna wakati tuwaelewe tu mkuu kulingana na mazingira ya siasa ya nchi yetu yalivyo magumu sana kuanzia kwa raia wenyewe hadi ukatili wa kutisha wa dola.Nimekuelewa sana mkuu
Kuna wakati hata mhanga wa utekaji itabidi akubali tu chakula na maji kutoka kwa watekaji ili asife aweze kuiona siku nyingine mapambano yaendelee. Nelson Mandela na wenzake ilifika mahali wakakubali majadiliano na maridhiano na makaburu waliowaua na kuwaweka gerezani Waafrika kwa maelfu hadi watoto wadogo.