Napata mashaka mno na CHADEMA, wamelegeza msimamo wao?

Lissu anatokaje gerezani ikiwa kesi yake haitafika mwisho na kutolewa hukumu.

Heche anataka nani amtoe mahabusu gerezani?
Rais anamsahe mfungwa na sio mahabusu
Mahakama viongozi wasiojielewa wanashangilia ndo hizo zinamuonea Lissu.
Hivi Heche anajielewa kweli?

Vijana wa Tanganyika wameuwa, yeye anaongelewa habari ya maridhiano na CCM?
Watanganyika tuna hasira mno vijana wetu zaidi ya 10,000 wameuwa kutetea haki halafu Heche anabwabwaja maridhiano?

Ili maridhiano yafanyike laZima waliouwa Watanganyika wawajibishwe, Samuya ajiuzulu, katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, na uchaguzi urudiwe.
Mkuu unachanganya madawa. 1. Lissu hana kesi. Ni kesi ya kubumba, yaani kushitakiwa bila kuwa na kosa. Unataka kesi ipi iendelee? Rais atamsamehe vipi wakati hana kosa? Unaweza kusamehewa kama hujafanya kosa? 2. Pengine neno ''maridhiano'' linachanganya wengi kwa sababu Mbowe na Samia na pia Zanzibar (maalim Seif vs CCM) walitoa maana isiyo sahihi juu ya maridhiano. Mariadhiano siyo kusameheana na kugawana madaraka. Mariadhiano ni mazungumzo yenye maana pana. A. kujua chanzo cha matatizo yote yaliyotokea B. kuwajua wahusika wote C. kuchukuwa hatua kwa wahusika wote ikiwepo kujua waliopotea na kuuawa wako wapi na kulipa familia zao. D. kuweka misingi ya kuhakikisha yaliyotokea hayatatokea tena.
 
Mkuu
Chadema, Heche na Lissu wasitumie damu na maisha ya Watanganyika zaidi ya 10,000 waliouliwa kupata uhuru wa Lissu.

Lissu atatoka akishinda mashtaka hatutaki huruma

Heche bila aibu anatamka maridhiano na CCM au Samuya
Watu waliouwa Watanganyika ndo wakae nao wapate maelewano?

Yaani chadema wanataka walidhiane na wahuni waliojiweka madarakani?

Sisi hatukuwachagua hao wanaotaka kuridhiana nao

Hao watu walikuwa wako angle mbaya, walikosa amani, Leo chadema na Heche wanawapa chance ya kutulia na kunyonya Watanganyika
 
Mkuu kama umesoma vizuri maana ya ''maridhiano'' niliyotoa utagundua kwamba kama vikao vya maridhiano vikafanyika kwa standard ya kimataifa inayotakiwa basi maazimio yatakayotokana na hayo maridhiano yatakuwa ni pamoja na Samia na wahusika wote kuchukuliwa hatua na kuundwa kwa serikali ya mpito kwenda kwenye uchaguzi huru..
 
Maridhiano ni makubaliano

Acha kuota kuwa Samuya
1. Atajiuzulu
2. Uchaguzi utarudiwa?
3. Waliouwa Watanganyika watapatikana?
 
Hata mimi nimeshangaa, Chadema wasifikiri wale watu waliandamana kwa ajili yao, wale ni watu waliochoshwa na maovu ya ccm na chadema wakifanya kosa kuingia kwenye maridhiano damu za watanganyika waliokufa hazitawaacha salama
Polepole, Soka, Mdude na wengineo hawqjulikani walipo na bado wanatakq kuingia kwenye maridhiano.
Unawashauri nini kifanyike??? Maana uhalisia lazima maisha yaendelee! Na chadema hata wakiweka mgomo haisaidii bado! Nchi lazima iendelee na mama Samia ataendelea kuwa Rais! Mimi nafikiri njia rahisi ya kutoka kwenye mkwamo huu ni maridhiano nothing else
 
Maridhiano ni makubaliano

Acha kuota kuwa Samuya
1. Atajiuzulu
2. Uchaguzi utarudiwa?
3. Waliouwa Watanganyika watapatikana?
I wish ungejua kuwa neno maridhiano limetoka kwenye maneno ya kiingereza ''truth and reconciliation''. Sisi waswahili tumejaribu kuposha maana yake kwa political gain. Maana yake ni process yenye kutafuta ukweli na suluhisho na siyo kupatana.
Kuweka ukweli wazi – Nini kilitokea, lini na kwa nani
Uwajibikaji – Nani alihusika au kuamuru vurugu
Kusikiliza waathirika – Kutambua maumivu yao na kuwasaidia
Haki na msamaha – Mizani kati ya adhabu na kusamehe
Chanzo cha migogoro – Mfano siasa mbaya, au udanganyifu wa uchaguzi
Marekebisho ya taasisi – Polisi, mahakama, na mfumo wa uchaguzi
Kujenga upya umoja – Kuleta watu pamoja na kurejesha imani
Kuzuia kurudia – Hatua za kuhakikisha haitatokea tena
Na maridhiano yanafanywa kwa kusimamiwa na watu wajuvi wasi na upande. Samia hawezi kukataa kuwajibishwa (kama wataamua hivyo) kwa sababu mhalifu hachagui adhabu.
 
Naona wewe ni mgeni Kwa wahuni wa sisiem
Unaongea mambo ya kufikirika
CCM wanataka hicho wanachoita maridhiano ili kupoza joto la Kisiasa wanalopitia saiv
 
Wata compromise woote ila TAL hawezi ku-compromis, Alishapita hizo Test zamani.

Kinacho fanyika sasa ni brainwashing ya CCM na matawi yake ili siku wakimuachia ionekane kwamba ameingia kwenye mfumo.

Heche kasema, TAL aachiwe bila ya masharti, Swala la mazungumzo litafata baada ya mwenyekiti kua nje, vikao halali vya chama vitaamua.
 
Kwa ufahamu wangu japo mdogo naona chadema wameregeza kamba kwenye hoja na misimamo Yao

Kwadababu

1. Kushangilia ushindi fake wa kuruhusuwa kufanya siasa.
Naona mtandao viongozi wa Chadema wakifurahi mno.

Hivi hawa akina Heche wanaona ati mahakama imewatendea haki?😂

2. Media tour ya Heche pale Wasafi

Nilimuona Heche kwenye facial
expression akiwa na furaha na ahadi.

Niliona kama ipo programmed
Aliongea mambo kama layman kabisa.

Uso huongeza kuliko maneno

3. Heche anahamisisha Lissu kuachiwa. Hivi Heche hajui utaratibu wa mahakama kuwa kesi ilifika mahakamani laZima isikilizwe na ifike mwisho
Hukumu haijatoka, makamu anaomba Lissu aachiwe

4. Heche alikuwa anakubali maridhiano kiaina.
Hili lilinishtua kidogo

Tushaweka msimamo, maridhiano hadi, waliouwa wajulikane na wawajibishwe, Samuya ajiuzulu na uchaguzi urudiwe
Heche amesahau yote haya saiv anajichekesha anaongelea usenge wa maridhiano redioni

5 Nilishtuka kuona magazeti na media zinatangaza habari za chadema Kwa bashasha
Hii ilinishtua kidogo

6 Ombi la Heche litakubaliwa na Lissu ataachiwa

7 Samuya hatajiuzulu na uchaguzi hautaridiwa Kwa kifupi hapa Kuna changa la macho

8 Tume itatoa majibu ya kinafiki kuikandia serikali kiaina na kuitaka serikali imuachie Lissu na Serikali itakeleza hilo agizo la tume

Nyie mlikula chuma siku 2 tu mkalegeza msimamo, si bora TAL amekaza mwaka mzima 😀
 
Hata mimi nimeshangaa, Chadema wasifikiri wale watu waliandamana kwa ajili yao, wale ni watu waliochoshwa na maovu ya ccm na chadema wakifanya kosa kuingia kwenye maridhiano damu za watanganyika waliokufa hazitawaacha salama
Polepole, Soka, Mdude na wengineo hawqjulikani walipo na bado wanatakq kuingia kwenye maridhiano.
Nijuavyo mimi ni kwamba maridhiano na mazungumzo ni vitu viwili tofauti !

Mnaweza mkaingia kwenye mazungumzo lakini maridhiano yasipatikane katika hayo mazungumzo !

Lakini pia ndani ya mazungumzo yanaweza yakapatikana baadhi ya maridhiano !
Na mazungumzo yakaendelea kufanyika ili kutafuta maridhiano kamili yaweze kupatikana !
 
Mkuu
Chadema, Heche na Lissu wasitumie damu na maisha ya Watanganyika zaidi ya 10,000 waliouliwa kupata uhuru wa Lissu.

Lissu atatoka akishinda mashtaka hatutaki huruma

Heche bila aibu anatamka maridhiano na CCM au Samuya
Watu waliouwa Watanganyika ndo wakae nao wapate maelewano?

Yaani chadema wanataka walidhiane na wahuni waliojiweka madarakani?

Sisi hatukuwachagua hao wanaotaka kuridhiana nao

Hao watu walikuwa wako angle mbaya, walikosa amani, Leo chadema na Heche wanawapa chance ya kutulia na kunyonya Watanganyika
Naamini wewe ni CCM ama Pandikizi la CCM na hii hoja unaishadadia Kwa malengo maalumu.

1. CHADEMA wametoa masharti Saba ambayo yakitimizwa ndio wapo tayari Kwa mazungumzo ( sio Maridhiano). Kwa makusudi kabisa wewe na CCM Wenzio au watu ambao hamuipendi CHADEMA ya Lissu mnapotosha. Miongoni mwa Masharti ambayo CHADEMA wametoa kabla ya mazungumzo ni Uchunguzi na Uwajibikaji Kwa Watu wote waliohusika na Oktoba 29. Kwa makusudi na Kwa agenda zako hutaki hili lizungumzwe. Kila mtu aliyeguswa na yaliyotokea Oktoba 29 anataka Uchunguzi huru na Uwajibikaji. Kaangalie mapendekezo namba 4-7 ya CHADEMA Kisha Lete hoja kuwa haya hayagusi Oktoba 29.

2. Mazungumzo ni kawaida kufanyija hata kukiwa na jambo baya kiasi gani. Iran imepigwa, watu wake wameuwawa, Viongozi wao Wakuu wameuawa lakini mbona Leo wapo kwenye Mazungumzo na wauaji wa watu wao? Kwa Nini Iran wasiendelee kupigana tuu Kwa vile watu wao wameuawa basi kusiwe na mazungumzo ya aina yoyote?

3. Hata South Africa, Watu weusi waliuwawa sana huku Mandela akiwa gerezani. Ukianzia mauaji ya Sharpeville ya mwaka 1960, Mauaji ya Soweto Mwaka 1976, mauaji ya Trojan Mwaka 1985 lakini Bado Mandela alitoka na akaitisha Tume ya Ukweli na Upatanishi.

4. Mbona hata Leo baada ya Oktoba 29, Bado Kuna watu wanapotea. Watu wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka bila utaratibu. Je, mmefanya Nini kukomesha hayo? Mmepigania Nini kukomesha Mamlaka ambayo Jeshi la Polisi inayatumia vibaya? Wewe mtoa mada umeleta proposal gani la kupunguza Mamlaka ya Polisi? CHADEMA wanapendekeza mageuzi katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama ili kufanya Nchi iwe huru na Wananchi wawe huru unawezaje kusema watu wanapendekeza hili ambalo wewe umeshindwa kupendekeza ni Wasaliti?

Kwa hiyo watu kuuawa sio mwisho wa maisha. Bado mapambano lazima yaendelee , njia zipi zitaleta ufumbuzi na kuzuia mauaji hayo kutokea tena ndizo zinatakiwa zibainishwe chini ya Watu huru , Vyombo huru kama Ushirikishwaji wa Jumuiya ya Madola , SADC na wengineo huku Wananchi nanyi mkishiriki Kwa upana na sio kutoa hoja pungufu kama hizi
 
Naamini wewe ni CCM ama Pandikizi la CCM na hii hoja unaishadadia Kwa malengo maalumu.

1. CHADEMA wametoa masharti Saba ambayo yakitimizwa ndio wapo tayari Kwa mazungumzo ( sio Maridhiano). Kwa makusudi kabisa wewe na CCM Wenzio au watu ambao hamuipendi CHADEMA ya Lissu mnapotosha. Miongoni mwa Masharti ambayo CHADEMA wametoa kabla ya mazungumzo ni Uchunguzi na Uwajibikaji Kwa Watu wote waliohusika na Oktoba 29. Kwa makusudi na Kwa agenda zako hutaki hili lizungumzwe. Kila mtu aliyeguswa na yaliyotokea Oktoba 29 anataka Uchunguzi huru na Uwajibikaji. Kaangalie mapendekezo namba 4-7 ya CHADEMA Kisha Lete hoja kuwa haya hayagusi Oktoba 29.

2. Mazungumzo ni kawaida kufanyija hata kukiwa na jambo baya kiasi gani. Iran imepigwa, watu wake wameuwawa, Viongozi wao Wakuu wameuawa lakini mbona Leo wapo kwenye Mazungumzo na wauaji wa watu wao? Kwa Nini Iran wasiendelee kupigania tuu Kwa vile watu wao wameuawa basi kusiwe na mazungumzo ya aina yoyote?

3. Hata South Africa, Watu weusi waliuwawa sana huku Mandela akiwa gerezani. Ukianzia mauaji ya Sharpeville ya mwaka 1960, Mauaji ya Soweto Mwaka 1976, mauaji ya Trojan Mwaka 1985 lakini Bado Mandela alitoka na akaitisha Time ya Ukweli na Upatanishi.

4. Mbona hata Leo baada ya Oktoba 29, Bado Kuna watu wanapotea. Watu wanakamatwa na kufunguliwa mashtaka bila utaratibu. Je, mmefanya Nini kukomesha hayo? Mmepigania Nini kukomesha Mamlaka ambayo Jeshi la Polisi inayatumia vibaya? Wewe mtoa mada umeleta proposal gani la kupunguza Mamlaka ya Polisi? CHADEMA wanapendekeza mageuzi katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama ili kufanya Nchi iwe huru na Wananchi wawe huru unawezaje kusema watu wanapendekeza hili ambalo wewe umeshindwa kupendekeza ni Wasaliti?

Kwa hiyo watu kuuawa sio mwisho wa maisha. Bado mapambano lazima yaendelee , njia zipi zitaleta ufumbuzi na kuzuia mauaji hayo kutokea tena ndizo zinatakiwa zibainishwe chini ya Watu huru , Vyombo huru kama Ushirikiahwaji wa Jumuiya ya Madola , SADC na wengineo huku Wananchi nanyi mkishiriki Kwa upana na sio kutoa hoja pungufu kama hizi
Dogo me ni mwanachama mkongwe wa Chadema
Rudia tena kusoma nilichoandika
 
Back
Top Bottom