Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analega lega hata aliye nae hana uhakika nae ndo walivyo wote ambao awajaolewa hawawezi tulia na mtu mmoja huwa wanajaribu KILA sehemu Ili kupata nani yupo serious.Pia maneno yake tukiongea ndio shida yani mkiongea unaona kabisa huyu anataka naniliuu
Yaah kweli maana huyu demu mkikaa mkiongea story zake nyingi mara wifi ajambo mara naogopa kuja mpaka unitambulishe mara nataka tuwe marafikiMtu yeyeto anaeshika dini inatakiwa Sana kuwa nae makini sana. Usiingie kwq kuamini Sana. Wengi dini ni kichaka cha kuaminiwa
Basi ndio maana kauli zake mara wanaume wote ndio wale wale mara sitaki uzinzi ina maana aliwahi kuhaidiwa kuolewa mambo yakaenda kombo mkuu?Analega lega hata aliye nae hana uhakika nae ndo walivyo wote ambao awajaolewa hawawezi tulia na mtu mmoja huwa wanajaribu KILA sehemu Ili kupata nani yupo serious.
Kama huna future nae mchane tu live unataka only friend Ili asipoteze mda kwako.
Hapo anatafuta una nia gani kwake kwake thus anakuletea hizo sitaki nataka.
Kama huna nia nae usile utamuumiza zaidi thus anakuambia wanaume ni waongo anaogopa kutoneshwa.
Ndio maana yake.Basi ndio maana kauli zake mara wanaume wote ndio wale wale mara sitaki uzinzi ina maana aliwahi kuhaidiwa kuolewa mambo yakaenda kombo mkuu?
Anataka ndoa huyo umri unasogea.Yaah kweli maana huyu demu mkikaa mkiongea story zake nyingi mara wifi ajambo mara naogopa kuja mpaka unitambulishe mara nataka tuwe marafiki
Sijui shida yao ni nini mkuu? wanafosi ndoa alafu baadae wanabadilika ila nadhani wengi wao ndo huwa ni ya kutoa aibu tu.Ndio maana yake.
Ila wanawake wengi ni wapumbavu wanatamani Sana ndoa Mungu akishawapa tu ndoa uanza bidii ya kuzibomoa ndoa.
Mchepuko na kahaba only ndio wanawake wanaozingatia mafunzo ya ndoa na kujua mwanaume atakiwa umuhandle vipi thus upora wanaume za watu kwa sababu wake za watu wamelala seminar za ndoa zikiisha na mafunzo wanayaachia huko huko kwenye seminar.
Mchane live kwamba una mtu Ili asipoteze mda wake.Me siwezi kumuoa hata kwa kujaribu huyu binti wala sina future nae
Yes ipo ila,sio karne hii ya,SamiaWewe mkristo? Kama ndio nijibu nikupe Fungu la biblia linalosema hivyo kuwa duniani Kuna watakatifu na fungua linalosema Mungu anawajua walio wake.