Dr criminal
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 2,282
- 4,316
Msimamo sifuri,,tunatokaje?[emoji116]
1.piga chini
2.Mpe mda
1.piga chini
2.Mpe mda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae,utaumia bureHapana binti huyu sitaki nataka hapo ndio shida
Hakunaga cha diniIIli
Upate mwanamke wa dini kweli nawe inabidi uwe mtu wa kiroho kabisa vinginevyo utapata ambaye amejificha kwenye dini kumbe ndo walewale
Kama kwako nii hakuna Cha dini NI kwako.Hakunaga cha dini
Duniani hakuna mtakatifu hata mmoja na wafia dini hawapo why kila mtu simkamilifu kwa Mungu watu wote ni watenda dhambi.Kama kwako nii hakuna Cha dini NI kwako.
Lakini fahamu kuwa Mungu ana watakatifu wake wachache duniani na yeye mwenyewe(MUNGU) anawajua,achana na Hawa vuguvugu wanaofanya uzinzi halafu wanajiita washika dini
Alafu Kuna UWABATAChama cha Wameza Mbaazi Tanzania
Wewe mkristo? Kama ndio nijibu nikupe Fungu la biblia linalosema hivyo kuwa duniani Kuna watakatifu na fungua linalosema Mungu anawajua walio wake.Duniani hakuna mtakatifu hata mmoja na wafia dini hawapo why kila mtu simkamilifu kwa Mungu watu wote ni watenda dhambi.