Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Hiyo situation ishawahi kunikuta na mwanamke wa Ina hiyoo wa kujifanya kushika dini,jiandae na vizinga .. ###temana nae mkatae kimya kimya ...hamna upendo hapo unapoteza muda wako ..Fanya mambo ya msingi Kwa mstakabali wa maisha yako.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kweli mkuu mbona hata mimi kashawahi niomba pesa mara ooh nitakurudishia lakini wapi ajarudisha.
 
Nakuona unavyozidi kufanya kazi ya kumu kanda mbwa kizazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari za wakati huu wakuu, natumai nyote wazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye mada.

Ni hivi kuna binti mmoja hivi nilifahamiana naye kwenye harakati za kutafuta mkate wa kila siku, yeye ni mtu wa dini sana yani kwenda kanisani kwake Jumatano, Ijumaa na Jumapili zote hakosi na kiumri anacheza miaka 26 na mimi nikiwa na miaka 24.
Kimbia ndugu yangu tena kwa kasi ya Umeme
 
Back
Top Bottom