Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

"Unataka mtu aliye nyooka,yani hana kona kona,yani hajawahi kuwa kwenye mahusiano {bonyeza 1},

"Karibu,unataka mtu huyo awe mweusi" { bonyeza *}

"Unataka awe mweupe"{Bonyeza 0}

"Unataka awe mwembamba kimbau mbau" {Bonyeza 9}

"Unataka awe chibonge tukunyema mwenye kaharufu kabaya katikati na kwenye makwapa" {Bonyeza 3}

"Kusikiliza tena" {Bonyeza 00}.
 
Sawa mkuu
 
😂😂😂😂 kwahyo ajafika nchi ya ahadi
Hajafika bado atafika akiwa amechoka sana.. hii dunia utafikaje tu ghafla kwa mume au mke unaemtaka kabla ya kupita kwa wana wa Israel wakakuonyesha unyangema..😂
 
Nashindwa kumuelewa mtoa maada
Sasa hapo kosa ni dini au ni huyo mwanadamu mwenye kujitambulisha kwa hiyo dini?
Shida huyu binti haeleweki mama.
 
Hajafika bado atafika akiwa amechoka sana.. hii dunia utafikaje tu ghafla kwa mume au mke unaemtaka kabla ya kupita kwa wana wa Israel wakakuonyesha unyangema..😂
Hahaha haeleweki huyu mara anataka kuolewa mpuuzi sana huyu
 
Back
Top Bottom