Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Note: Siku utakayotangaza kuwa unataka kumwoa atatafuta nauli aje ummege kimasihara huko uliko.
Wanawake wanataka sana ndoa hasa waliokimbilia kwenye makanisa
 
Yeye anataka kwa lazima. Muelewe hivyo. Ukishindwa kumuelewa tatizo ni lako
Duuh kama ndio hivi basi akatafute mtu wa kumuoa directly mbona wapo
 
Back
Top Bottom