Napata mashaka na huyu binti mshika dini na kauli zake

Kaa chini frem mambo yako ...mpotezee kwa mda mwezi mzima .... mwenyewe atanyoosha maelezo .... tatizo linakuja utamshobokea na kuntafta ndipo utakapo haribu
 
Hakunaga cha dini
Kama kwako nii hakuna Cha dini NI kwako.
Lakini fahamu kuwa Mungu ana watakatifu wake wachache duniani na yeye mwenyewe(MUNGU) anawajua,achana na Hawa vuguvugu wanaofanya uzinzi halafu wanajiita washika dini
 
Kaa chini frem mambo yako ...mpotezee kwa mda mwezi mzima .... mwenyewe atanyoosha maelezo .... tatizo linakuja utamshobokea na kuntafta ndipo utakapo haribu
🙏 🙏 🙏 nimekuelewa mkuu.
 
Kama kwako nii hakuna Cha dini NI kwako.
Lakini fahamu kuwa Mungu ana watakatifu wake wachache duniani na yeye mwenyewe(MUNGU) anawajua,achana na Hawa vuguvugu wanaofanya uzinzi halafu wanajiita washika dini
Duniani hakuna mtakatifu hata mmoja na wafia dini hawapo why kila mtu simkamilifu kwa Mungu watu wote ni watenda dhambi.
 
Wewe mkristo? Kama ndio nijibu nikupe Fungu la biblia linalosema hivyo kuwa duniani Kuna watakatifu na fungua linalosema Mungu anawajua walio wake.
 
Watu mnamatatizo ya kujitafutia ,Sasa hapo ni ww ndio unamaamuzi ikiwezekana muite home myamalize .
 
Uoga wako tu mzee baba..mi skushauri uzini ila hapo hakuna mtu hapo KAMA HUAMINI VUNGA USIMTAFUTE KAMA MWEZI UTAONA ATAFANYAJE
 
Kweli mkuu hapa nilipo nishampozea ngoja nione nini atafanya ila hapa hakuna mtu kweli
 
Watu mnamatatizo ya kujitafutia ,Sasa hapo ni ww ndio unamaamuzi ikiwezekana muite home myamalize .
Huyu manzi me nishampotezea namuacha nione reaction yake maana haeleweki huyu.
 
Kwani we lengo lake kwako ni nini kuona mwili wake, rafiki tu au kuoa.
 
Kuwa karibu na mtu sio lazima ngono just for friends. But chating at the end kituo kinachofuata ni ngono.
 
Back
Top Bottom