Hiyo amepanga apeleke Kwa mganga utakuwa zezeta, akikuambia panda au teremka unafuata kama zombi TU!Kuwa zezeta tena? Mbona unanitisha Mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo amepanga apeleke Kwa mganga utakuwa zezeta, akikuambia panda au teremka unafuata kama zombi TU!Kuwa zezeta tena? Mbona unanitisha Mkuu
Wacha upumbavu tafuta mwanamke mwingine kijanaaHabarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.
Kwanza amekuwa akidai nimpe T-shirt zangu na nimempa kadhaa kwani nilijua ana lengo la kuzivaa tu, lakini sijawahi kumuona akivaa hata moja na sijui zipo wapi.
Pili sikuhizi baada ya kumaliza tendo, ameanza tabia ya kuwa anatoa kitambaa ndani ya pochi yake na kunifuta kisha anakirusisha ndani ya pochi.
Nilimuuliza kwanini usifue hicho kitambaa ila unakiweka kwenye pochi na kukaa nacho, anasema atakifua siku nyingine, lakini kila mara anakuwa nacho na naona bado hakijafuliwa.
Sina nia au mawazo mabaya juu yake lakini vitendo hivi vinanipa mashaka makubwa. Sielewi lengo lake ni nini hasa.
Pia soma: Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara
Usiwe na hofu huwa anapenda kunusa shahawa zakoHabarini wadau wa jukwaa hili, nimepata wasiwasi baada ya kuzidi kwa vitendo ambavyo sivielewi kwa mwenza wangu.