Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angina pectoris, dalili mbaya mno na ya hatari huashiria kuziba kwa mirija ipelekayo damu kwenye misuli ya moyo (coronary arteries) wahi hospitali haraka!!Habari za humu wataalam,
kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega.
Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
Ndugu yangu asante kwa kunipa tumaini, wasi wasi na kuto jiamini ni adui zangu kwa miaka sasa je unawezaje kupamba na hali hii?Nikiwa chuoni kuelekea mwaka wa nne.. nilipata msiba mkubwa ghafla.. na being an introvert.. maumivu niliyaficha moyoni.. nilihuzunika na kuwaza na kuomboleza mwenyewe...
Niliporejea shule.. my life changed completely.. sikutaka kujiassociate na watu.. most of times nilitumia muda wangu mwenyewe...
Nikaanza kuexperience kuchoka haraka sana... Heightened heart rate.. dizziness.. head aches.. chest pain especially upande wa kushoto.. kuanzia upande wa mbele mpaka nyuma ya eneo la moyo.
Nilienda sana hospitali.. nikashindwa kuendelea kuwa active kwenye sports.. baadae ikaja kugundulika haikuwa shida ya moyo.. ila nilikuwa na GERD.. (A form of anxiety disorder) ni wasiwasi tu.
Nikaanza kujiongoza katika kubadili mtazamo na ilinisaidia.. I went back to sport activities in six months..na mpaka leo hurudi nyakati fulani fulani ninapokuwa stressed ila najua kupambana nayo kwa sasa.
Pole ndugu yangu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nahisi niliumwa kitu kama hicho, lkn daktari aliniambia ni muscles sijui zimefanyaje hata sikumuelewa. Wakati mwingine nilimuwa nashindwa kunyanyua kitu kizito kutumia mkono wa kushoto..yaani ni maumivu yasiyoeleweka... daktari aliniambia nisijiendekeze niendelee tu na shughuli kama kawaida.Nikiwa chuoni kuelekea mwaka wa nne.. nilipata msiba mkubwa ghafla.. na being an introvert.. maumivu niliyaficha moyoni.. nilihuzunika na kuwaza na kuomboleza mwenyewe...
Niliporejea shule.. my life changed completely.. sikutaka kujiassociate na watu.. most of times nilitumia muda wangu mwenyewe...
Nikaanza kuexperience kuchoka haraka sana... Heightened heart rate.. dizziness.. head aches.. chest pain especially upande wa kushoto.. kuanzia upande wa mbele mpaka nyuma ya eneo la moyo.
Nilienda sana hospitali.. nikashindwa kuendelea kuwa active kwenye sports.. baadae ikaja kugundulika haikuwa shida ya moyo.. ila nilikuwa na GERD.. (A form of anxiety disorder) ni wasiwasi tu.
Nikaanza kujiongoza katika kubadili mtazamo na ilinisaidia.. I went back to sport activities in six months..na mpaka leo hurudi nyakati fulani fulani ninapokuwa stressed ila najua kupambana nayo kwa sasa.
Pole ndugu yangu.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa asilimia kubwa una gerd.Ndo kitu gani hicho mkuu
AsanteMkuu kwa asilimia kubwa una gerd.
Gerd ni ugonjwa wa kuwa na asidi nyingi tumboni.kabla ya kuwa na chronic gerd unakuwa tayari na acid reflux.
dalili zake
1)kuhisi kiungulia
2)maumivu ya kifua sehemu za moyo yasiyoelezeka pamoja na mkono wa kushoto kuuma.
3)chakula huwa na hali ya kurudi nyuma hadi kwenye Koo na Koo huwa kama limeziba na kupelekea shingo,taya na kuzunguka mgongoni kuuma.
4)kupumua kwa shida hii ni kutokana asidi inayotoka tumboni hupanda hadi kooni na sometimes kuingia njia za hewa.
5)tumbo kuuma na kifua hasa wakati wa mazoezi ya kukimbia sana.
Kiukweli gerd imekuwa tishio saivi na tatizo bado watu hawaijui vizuri, nakushauri mkuu nenda hospital ila [emoji817] una gerd,na asilimia ndogo utakuwa na angina au matatizo ya moyo.
Ukigundulika na hiyo utaelekezwa matibabu yake hukohuko hospitali.ugua pole mkuu
Fika hospitali, ujue afya yako na okoa maisha yako.Habari za humu wataalam,
kwa muda mrefu ninasumbuliwa na maumivu eneo la moyo(kifuani upande wa kushoto) yakielekea upande wa nyuma kwenye bega.
Maumivu hayo sasahivi yanafika hadi shingoni.
Na Mimi huu ugonjwa umenikuta, yaani mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio kinyama, moyo ukaanza uma, nilikuwa na kizunguzungu htr, mwili ukaishiwa nguvu, nilifanya kipimo Cha ECHO, na electrocardiogram, nimeanza dawa sahivi wiki ya tatu, afuheni ipo Ila nkipanda ka mlima au kazi nzito nachoka htr Hadi mapgo ya moyo yanaongezeka, lkn naendelea poa sio Kama nilivyoenda hospitalKazi nafanya mkuu ila nilikaa nyumbani zaidi ya mwezi,nafuu IPO Nina postum a dawa
Pole mkuu vipimo hata Mimi nilifanya hivyo pamoja na CT Scan ya kichwa maana nilianzwa na blurring speach. Kipindi hicho wakahisi Nina shida kwenye brain lakini haikuwa hivyo.Na Mimi huu ugonjwa umenikuta, yaani mapigo ya moyo yalikuwa yanaenda mbio kinyama, moyo ukaanza uma, nilikuwa na kizunguzungu htr, mwili ukaishiwa nguvu, nilifanya kipimo Cha ECHO, na electrocardiogram, nimeanza dawa sahivi wiki ya tatu, afuheni ipo Ila nkipanda ka mlima au kazi nzito nachoka htr Hadi mapgo ya moyo yanaongezeka, lkn naendelea poa sio Kama nilivyoenda hospital
Stress zako zilisababishwa nanini.Nahisi niliumwa kitu kama hicho, lkn daktari aliniambia ni muscles sijui zimefanyaje hata sikumuelewa. Wakati mwingine nilimuwa nashindwa kunyanyua kitu kizito kutumia mkono wa kushoto..yaani ni maumivu yasiyoeleweka... daktari aliniambia nisijiendekeze niendelee tu na shughuli kama kawaida.
Kipindi hicho nilikuwa ni mtu wa kukaa tu nyumbani na mawazo lukuki..now nipo active nafanya shughuli zangu stress zimepungua kwa kiasi kikubwa nahisi kupona. Yale maumivu sisikii tena...sikuwa naweza hata kulalia upande wa kushoto. Nimepona bila kutumia sawa yoyote
Mapenzi na pesa[emoji3]Stress zako zilisababishwa nanini.
Mapenzi, pesa, familia kufiwa, dini, masomo, ajira.
Sasa umefanikiwa vyote?Mapenzi na pesa[emoji3]
Kwa nini umeanza maelezo yako na R. I. P!? Kama umemaanisha hii ya kifo basi hujafanya vema hata kidogo na hata ushauri wako hauna maana ila mhusika kakuitikia tu kwa sababu umekomentR.I.P
Wahi haraka hospital, ukichelewa unaweza kuambiwa nenda India ambako itakutoka more than 16m.
Kiasi..pesa huwa hazijai loh. Ni kwamba muda mwingi nilikuwa idle ila sasa nafanya shughuli so zitakuja tu.Sasa umefanikiwa vyote?
Nimemaanisha atulie salama asihofu hili ni jambo dogoKwa nini umeanza maelezo yako na R. I. P!? Kama umemaanisha hii ya kifo basi hujafanya vema hata kidogo na hata ushauri wako hauna maana ila mhusika kakuitikia tu kwa sababu umekoment
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa...hasa ukikosa pesa ni nuksi kuliko kitu chochote mweehKiasi..pesa huwa hazijai loh. Ni kwamba muda mwingi nilikuwa idle ila sasa nafanya shughuli so zitakuja tu.
Ukikaa tu hufanyi shughuli yoyote inaleta stress sana