Napata maumivu upande wa moyo, hizi ni dalili za ugonjwa gani?

Nasikia hata vidonda vya tumbo vina dalili kama hizi,
Tatizo kama hilo limenianza mapema mwaka huu...karibu mwezi mmoja uliopita. Nilikuwa nasikia maumivu kwenye moyo na yanachoma hadi nyuma ya bega (mgongoni)..Kuna muda hadi ndani ya misuli ya miguu na mikono nilikuwa nikisikia maumivu ya mishipa ya damu ikidunda kwa kufata heart beats. Nilienda hospital na nikapima moyo...wakaniambia kuwa moyo upo sawa, na mzunguko wa damu upo sawa...Ila wakaniambia nina tatizo sijui mdudu anaitwa H.pyrol (mi sio mtaalamu wa afya so sielew kama ni mdudu au tatizo). Maelezo ni kuwa vidonda vya tumbo navyo hupelekea hiyo hali....Haya maelezo kuwa tatizo langu huwa linawakuta hasa wenye vidonda vya tumbo aliniambia yule specialist hata before sijafanya vipimo. Namimi sikumuambia kama huwa nina tatizo la ulcers. So niliacha hypothesis zake zifanye kazi..Nikachukua vipimo vya moyo, mzunguko wa damu na h. pyrol...matokeo yakatoka fresh kuwa moyo uko sawa, mzunguko wa damu na oxygen viko sawa..ila nina h.pyrol ambae anasababisha au anatokana na vidonda vya tumbo...

nilihisi kama uongo ila now baada ya kusoma watu humu wanahusisha hili tatizo na vdonda vya tumbo naanza kuamini kuwa the specialist was right.

Kapime mkuu.
 
m
Mkuu, nimekuwa interested na story yako kuliko hata tatizo lako (haha joke)...Ila nitakuwa mtu wa mwisho kukusamehe kama tu ulikuja kumsamehe huyo dem.
 
Huu Uzi ni muhimu kwangu kwa 100% yote yaliyoelezwa na mleta mada ninayo labda la zaidi Kwan pia nahisi nyakati fulani mkono wa kushoto unakosa nguvu.

Kwa nyongeza hii Hali ilianza kunipata baada ya Lissu kushambuliwa 16 bullets iliniuma mno mmpaka Leo nahisi ndio sababu ya hii Hali.
 
Maumivu kama hayo ywlinitokea mwaka 2018 ila tofauti kidogo.
Mimi nilianza kusikia maumivu katikati ya kifua na tumbo, sasa nikavumilia tatizo likawa linasambaa baadhi ya maeneo mengine Sanasana mgongoni.

Nilipoona maumivu yanazidi nikaenda hospitali nilipopimwa nikakutwa na vidonda vya tumbo.

Hivyo maelezo yako niliyahusianisha na vidonda vya tumbo sababu maumivu yako hayatofautiani na yaliyonipata.

Mimi nilipuuza muda mrefu alafu nilikuwa sizingatii chakula kitu ambacho kilipelekea hadi choo kutoka cheusi ambapo kwa maelezo niliyoenda kupata kwa daktari, vidonda vilikuwa vimenila hadi kuta za tumbo kutoa damu.
Tatizo lingine nililoliona dushe linakataa kusimama 🙊
 
Mkuu tuwahi vipimo
 
Hivi ni vidonda vya tumbo na wengi hufikiri harakaharaka kuwa ni tatizo la moyo. Upande wa kifua kushoto kunakuwa kunaauma na hadi mkono wa kushoto unaweza kuuma(referral pain).

Ukitaka hakikisha kanunue Omeprazole za 1000. Tumia hata kwa siku tatu asubuhi na jioni. Nusu saa kabla ya kula. Hali hiyo ikipotea basi jua ni vidonda vya tumbo.
 
Kaka nilisamehe! Maisha yenyewe mafupi haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka una moyo wa kipekee sana..ila kama upo nae mda huu kumbuka hawezi kubadilika na jiandae kwa shambulio la pili..Kaka, kwann unajiweka kwenye risk ya heart attack kwa mtu ambae it is obvious kwamba yupo kwako after benefit?

Anyway, uwe na weekend njema mkuu
 
Wahi hospital ukafanye kipimo cha ECHO na ECG moyo utakuwa unashida
Achana na mawazo fanya mazoez inasaidia
Yeah true niliwahi pata tatizo la moyo nikaenda kucheki Jakaya Mrisho Kikwete Institute Muhimbili nilitoka salama though nilikuwa na maumivu.....
but siku hizi nimekuwa mtu wa mazoezi ya moyo sana ile hali ilipotea yote...
 
Nenda hospitali hili si suala la mitandaoni, hospitali kwanza kisha mitandaoni. Mitandaoni utakuja ambiwa huo ni moyo umedondoka stand yake imechakaa kuna mtu anayo mpya anaiuza.
 
Yeah true niliwahi pata tatizo la moyo nikaenda kucheki Jakaya Mrisho Kikwete Institute Muhimbili nilutoka salama though nilikuwa na maumivu.....
but siku hizi nimekuwa mtu wa mazoezi ya moyo sana ile hali ilipotea yote...
Yeah mazoez muhimu
Ila ukiendekeza mawazo
Hali inawezajirudia
Ishi kama vile hunashida yoyote
Kilakitu kinaenda sawa
Vipi kuhus doz bado unaendelea nazo
 
Nenda hospitali hili si suala la mitandaoni, hospitali kwanza kisha mitandaoni. Mitandaoni utakuja ambiwa huo ni moyo umedondoka stand yake imechakaa kuna mtu anayo mpya anaiuza.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yeah mazoez muhimu
Ila ukiendekeza mawazo
Hali inawezajirudia
Ishi kama vile hunashida yoyote
Kilakitu kinaenda sawa
Vipi kuhus doz bado unaendelea nazo
Mm jamaa waliniambia sina shida yyte kwenye moyo baada ya vipimo kuna dawa nilipewa ya maumivu baas......
pia nikaambiwa nizingatie mazoezi ya misuli ya moyo
 
mkuu ulipima vipimo gani na gharama zake zikoje
 
ulipima wapi mkuu na gharama zikoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…