Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Sawa my dear ila nimejaribu sana kufanya vipimo labda bdo ivo vikubwa vya kichwaKuumwa kichwa ni ishara kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wako. Usitibu kichwa tibu tatizo linalofanya kichwa kiume.
Pole sana.
Wewe ni mdada sio? Vipi vipimo vya Homoni umefanya? Estrogen ikishuka inasababisha migraines sio ya kawaida. Unaumwa na kichwa ukilala kipo, ukiamka kipo. Ukimeza dawa kikitulia ni dakika tano kinaanza tena.Sawa my dear ila nimejaribu sana kufanya vipimo labda bdo ivo vikubwa vya kichwa
Kinauma tu kusema kweli bila dalili yoyoteKichwa kuuma kinaambatana na dalili gani?
Maumivu yake yakoje? kinauma kichwa kizima, au upande mmoja.?Kinauma tu kusema kweli bila dalili yoyote
Mara ya mwisho kwenda hosptal doctor amenipa hadi dawa za allergy na za kuspray kwenye pua amesema kuna kitu ameona labda nayo inasababisha hali ya kuumwa kichwa nimetumia lkn bdo,labda nirudi kupima ivo vitu ulonambiaWewe ni mdada sio? Vipi vipimo vya Homoni umefanya? Estrogen ikishuka inasababisha migraines sio ya kawaida. Unaumwa na kichwa ukilala kipo, ukiamka kipo. Ukimeza dawa kikitulia ni dakika tano kinaanza tena.
Mda mwemgine kinauma apa mbele kwenye komo,mda mwengine upande wa kulia na mda mwengine upande wa kushotoMaumivu yake yakoje? kinauma kichwa kizima, au upande mmoja.?
Na mda mwengine kinapija apa juu kati katiMaumivu yake yakoje? kinauma kichwa kizima, au upande mmoja.?
Sawa dear. Pia kama huwa haupati mafua kwa muda mrefu sana wanasema huwa inasababisha pia kichwa kuuma.Mara ya mwisho kwenda hosptal doctor amenipa hadi dawa za allergy na za kuspray kwenye pua amesema kuna kitu ameona labda nayo inasababisha hali ya kuumwa kichwa nimetumia lkn bdo,labda nirudi kupima ivo vitu ulonambia
Pole Mamii...!!Hicho Kitu Alichoona Ni Kitu Gani??Alikiona Kimiujiza Au Ni Majibu Kutoka Kwenye Vipimo?Mara ya mwisho kwenda hosptal doctor amenipa hadi dawa za allergy na za kuspray kwenye pua amesema kuna kitu ameona labda nayo inasababisha hali ya kuumwa kichwa nimetumia lkn bdo,labda nirudi kupima ivo vitu ulonambia
Asante nitaendelea kulifatilia kwa ukaribu sanaSawa dear. Pia kama huwa haupati mafua kwa muda mrefu sana wanasema huwa inasababisha pia kichwa kuuma.
Hapana haikuwa vipimo alinifumbua pua ivi akanipija tochi ndio akaniambia ivoPole Mamii...!!Hicho Kitu Alichoona Ni Kitu Gani??Alikiona Kimiujiza Au Ni Majibu Kutoka Kwenye Vipimo?
Ok nenda hospitali nzuri ukamuone Daktari bingwa, itapendeza akiwa wa ufahamu na ubungo.Mda mwemgine kinauma apa mbele kwenye komo,mda mwengine upande wa kulia na mda mwengine upande wa kushoto