Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
- Thread starter
-
- #21
Ok ahsant nitanya ivoOk nenda hospitali nzuri ukamuone Daktari bingwa, itapendeza akiwa wa ufahamu na ubungo.
Headaches ina sababu nyingi, inaweza kuwa migraines, cluster headache, au kuna ugonjwa mwingine wowote.
Una damu nyingi nenda kapime wingi wa damu kama ni nyingi nenda kachangie damuNatumai nyote mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa. Kila siku, ikifika muda fulani, kichwa huuma sana na kunikosesha raha.
Nimetumia dawa nyingi bila mafanikio.
Je, huu ni wakati muafaka wa kupima macho ili kuona kama tatizo linaweza kuwa macho yangu?
Huenda nikapata afueni.
Yeah najiuliza kila siku why ni muda maalumKwann kina muda maalumu kuuma unatakiwa ujiulize hili swali
Si kawaida hiyo fanya maombi sana amini utaponaYeah najiuliza kila siku why ni muda maalum
17.1 inaweza kunisumbua kiasi hiki kwamba mwezi mzima niumwe kichwa?Una damu nyingi nenda kapime wingi wa damu kama ni nyingi nenda kachangie damu
Sawa dear nitajitahidiSi kawaida hiyo fanya maombi sana amini utapona
Cool Mamii,,,Usichoke Endelea Zaidi Kuipambania Afya Naamini Utafanikiwa Tu,,,Wajuzi Humu Wamo Si Haba.Hapana haikuwa vipimo alinifumbua pua ivi akanipija tochi ndio akaniambia ivo
Na ikitokea nimechangia damu siwezi kupata tatizo naskia mwengine huwaga wanazimia wakimaliza kuchangiaUna damu nyingi nenda kapime wingi wa damu kama ni nyingi nenda kachangie damu
Hapana sijawahi vyote ivoUlishawahi kupata ajali , kupigwa na kitu kizito kichwani au sudden fall? ukapigiza kichwa
Kula ushibe kwanza ndo uwende kuchangiaNa ikitokea nimechangia damu siwezi kupata tatizo naskia mwengine huwaga wanazimia wakimaliza kuchangia
Aina gani ya vipimo mana vyengine nimeshafanya,kama presha,skari,wingi wa damu na mkojoWahi kafanye vipimo
Ok, nenda kafanye CT scan labda kuna damage kwenye ubongoHapana sijawahi vyote ivo
Sawa hakuna shida ntajitahidiOk, nenda kafanye CT scan labda kuna damage kwenye ubongo
Vyote vipo sawa au? Je usingizi unapata wa kutoshaAina gani ya vipimo mana vyengine nimeshafanya,kama presha,skari,wingi wa damu na mkojo
Either macho, sinus, migraine au pressure zaidi low pressure.Mda mwemgine kinauma apa mbele kwenye komo,mda mwengine upande wa kulia na mda mwengine upande wa kushoto