Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
- Thread starter
-
- #41
Haya mafuta yanapatikana wapiEither macho, sinus, migraine au pressure zaidi low pressure.
Kapime macho, pressure, wingi wa damu.
Pia angalia hormones km zipo sawa.
Lifestyle pia inaweza kuwa sabb. Jee unapumzika vya kutosha? Kazi unafanya kwa kiasi zaidi za kutumia akili na computer? Jee huna vitu vinokufanya uwe tensed?
Au kuna kitu una uraibu nacho kwa sasa umekiwacha, kama chai au kahawa n k? Mana saivi kipindi cha mfungo pengine unafunga na mwili haujakubaliana na hio hali. Kiufupi nenda kafanye vipimo na usikubali kuondolewa njiani hakikisha unajua tatizo ni nini na unapata matibabu. Mana madaktari wetu kwa labda,labda hawajambo.
Pia tumia mafuta ya kupaka yanasaidia sn. Km vicks, lkn isiwe vicks kali
View attachment 3284656View attachment 3284658
Toka mwaka 2015 had mwaka 2022 nlikua naumwa kichwa kama ww.Natumai nyote mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa. Kila siku, ikifika muda fulani, kichwa huuma sana na kunikosesha raha.
Nimetumia dawa nyingi bila mafanikio.
Je, huu ni wakati muafaka wa kupima macho ili kuona kama tatizo linaweza kuwa macho yangu?
Huenda nikapata afueni.
Sawa na mm nitafanya hii dawa na kumuomba mungu inisaidieToka mwaka 2015 had mwaka 2022 nlikua naumwa kichwa kama ww.
Nlienda hospital mbalmbal lakn ckupata nafuu. Nlipima sukar, Macho, pressure ya Macho na pressure ya damu pamoja na wingi wa damu. Lakn hawakupata kujua shida n nn.
Kuna wakat kichwa kiliuma kwa mieze 3 had 4 bila kupoa. Nlikua nnatumia Zandu bam au Relax bam.
Zandu na Relax Bam n dawa za kihindi znatumika kutuliza maumivu ya viungo.
Mwisho wa siku nlikuja kugundulika nna kipanda uso au Migrane kwa kiingereza. Walisema Migrane haina dawa zaid ya kunywa maji meng na kulala kwa mda mrefu.
Katika kupambana kutafuta dawa nlikutana na Mzee mmoja akaniambia nitumie mchaichai kwa kuvuta puan baada ya kuufikicha. Yaan unaziba njia moja ya pua unavuta na moja. Kwa dakika 5 unafanya hvyo mara 3 kwa siku kwa muda wa siku 5.
Baada ya kufanya hvyo leo n mwaka 3 cjaumwa tena kipanda Uso au Migraine. Asante.
Kama ukiwa na Swal ww niulize ntakujibuSawa na mm nitafanya hii dawa na kumuomba mungu inisaidie
Jaribu kuulizia ulizia pharmacy. Mie niligaiwa. Lkn nimeambia yanatoka Indonesia, km una mtu unaweza kumuagizaHaya mafuta yanapatikana wapi
Utapona mamaaSawa na mm nitafanya hii dawa na kumuomba mungu inisaidie
Umewahi kutembea na Mke wa mtu?Natumai nyote mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa. Kila siku, ikifika muda fulani, kichwa huuma sana na kunikosesha raha.
Nimetumia dawa nyingi bila mafanikio.
Je, huu ni wakati muafaka wa kupima macho ili kuona kama tatizo linaweza kuwa macho yangu?
Huenda nikapata afueni.
Kunywa maji yenye chumvi ya mawe asubuhi na kabla ya kulala(kikombe kimoja)Natumai nyote mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa yasiyopona kwa takriban mwezi sasa. Kila siku, ikifika muda fulani, kichwa huuma sana na kunikosesha raha.
Nimetumia dawa nyingi bila mafanikio.
Je, huu ni wakati muafaka wa kupima macho ili kuona kama tatizo linaweza kuwa macho yangu?
Huenda nikapata afueni.
Pole mremboMda mwemgine kinauma apa mbele kwenye komo,mda mwengine upande wa kulia na mda mwengine upande wa kushoto
Mkuu kuna mtoto wetu ana miaka 15, Sasa hivi kichwa kime-bana sana kinafuatana na low pressure, vipimo buoyed keshafanya, kichwa kipo hapo hapo, jee unajua au unamjua bingwa wa maradi haya ya kichwa ili apelekwe akaonane nae.Mkuu kichwa kinauma sehemu gani?