Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤩🤩🤩🤩Cover la bati!!!🤣🤣🤣 Hiyo 500,000 ni nyingi sana hasa kwa sisi watu wa kipato cha chini. Yaani sielewi nitawakoga namna gani washkaji kitaa. Mimi kabla ya hii nilikuwa na simu moja kali sana nlipewa na Boss wangu Mhindi baada ya kuwa imeanza msumbua. Hii ndo ninayotumia mpaka leo ina miaka 8.
Sasa imajini napata simu ya tsh 500,000 mpya kabisa . Kuna kulala hapo? Acha kabisa. Hivi siwezi kupata na cover ya chuma au bati ili hata ikitokea bahati mbaya imeanguka isithurike?
Simu the best inaanzia bei gani?Acha kusumbua watu huwezi pata simu the best kwa budget hiyo.
Sikulaumu. Ni aina ya wazazi ulioishi nao ndo wamekuharibu.Mleta uzi hana marinda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hiyo 500,000 ni nyingi sana hasa kwa sisi watu wa kipato cha chini. Yaani sielewi nitawakoga namna gani washkaji kitaa. Mimi kabla ya hii nilikuwa na simu moja kali sana nlipewa na Boss wangu Mhindi baada ya kuwa imeanza msumbua. Hii ndo ninayotumia mpaka leo ina miaka 8.
Sasa imajini napata simu ya tsh 500,000 mpya kabisa . Kuna kulala hapo? Acha kabisa. Hivi siwezi kupata na cover ya chuma au bati ili hata ikitokea bahati mbaya imeanguka isithurike?
Huu uzoefu uliupata toka kwa baba na mama yako. Sasa umekua ukiona hivyo na walikuambia lazima iwe hivyo. Pole sana walikudanganya...walikuwa wanapenda tu wenyewe.Mwindi akupe simu bure kwel alaf boss wako?[emoji23] itakuwa alikupakia mkongo