saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
We si malaya tu unajulikana halafu siyo raia wa nchi yetu.Ukiangalia ujumbe wa team ya Al Hilal ambao watatumia uwanja wa BWM kwa ajili ya mechi zake za CAFCL umebeba ujumbe mzito na umejaa weledi mkubwa mno.
Hata lugha iliyotumika kuomba support ya mashabiki ni lugha inayoleta ujasiri na upendo hakika hii mechi si ya kukosa.
Al Hilal vs Esperance siku ya ijumaa nadhani ni saa Moja usiku.
View attachment 2828994
Kajenge wa kwako uite jina la mamakoNatamani kuona tunaanza kuvipa viwanja majina ya wachezaji na wanariadha waliofanya mambo makubwa badala ya wanasiasa
wakati wa viwanja kupewa majina yao bado, waanze kwanza akina Tenga na wenzake ndio waje akina samatta na bocco. Hata hivyo waache rekodi za kutukuka watakapostaafu sokaMkapa alistahili kupewa huo uwanja wazo lako sio BAYA kwa vile vinavyojengwa angalau kimoja apewe Samata na kingine John Bocco