Napata nguvu kushangilia Al Hilal

Napata nguvu kushangilia Al Hilal

We
Ukiangalia ujumbe wa team ya Al Hilal ambao watatumia uwanja wa BWM kwa ajili ya mechi zake za CAFCL umebeba ujumbe mzito na umejaa weledi mkubwa mno.

Hata lugha iliyotumika kuomba support ya mashabiki ni lugha inayoleta ujasiri na upendo hakika hii mechi si ya kukosa.

Al Hilal vs Esperance siku ya ijumaa nadhani ni saa Moja usiku.

View attachment 2828994
We si malaya tu unajulikana halafu siyo raia wa nchi yetu.
 
Mkapa alistahili kupewa huo uwanja wazo lako sio BAYA kwa vile vinavyojengwa angalau kimoja apewe Samata na kingine John Bocco
wakati wa viwanja kupewa majina yao bado, waanze kwanza akina Tenga na wenzake ndio waje akina samatta na bocco. Hata hivyo waache rekodi za kutukuka watakapostaafu soka
 
Hakika.. Nilijua aAl hilal imepoteana ila kumbe bado wako vizuri mno wananistaajabisha hapa kwa mkapa
 
Back
Top Bottom