Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Sawa, labda wewe ni mvivu wa kusoma historia lakini sasa Classification ya kwenye Biology umeapply vipi mkuu kwenye Geopolitics za Middle East?Wanajamvi! Ujue katika biology kuna topic form 3 nakumbuka inaitwa classification unapoichukua hii topic na kuapply kwenye nchi ya palestina na israel unagundua hawa jamaa wa israel wamepandikizwa katika nchi za kiarabu kuleta chokochoko na hata tukisema wayahud ni israel hawafanani kabisa kwa kuangalia majirani misri,jordan,lebanon na syria wote ni waarabu pure ila myahud ni newcomer katila ardhi ya palestina au ndiyo tuseme waarabu wote wameikuta israel??ila ukwel myahud ni mzungu yule indian red wa marekani kiasili kabisa full stop.
Israel ni wezi, ukiacha udini na mambo mengine, kuna uzayuni na uyahudi, sio wayahudi wote ni wazayuni. Israel askari wake vijana wadogo 20's na 30's wanakufa kikatili kwa sababu ya ujinga.Tatizo we ni mhafidhina wa dini. Tena ni muislam typically, waislam hawakubaliani na mpango wa Israel kuwepo mashariki ya kati wanaona ni wavamizi toka ulaya, amerika na kwingineko. Wapelestina kwa ujumla ni waislam ndio maana hata vikundi vyao vya harakati vinajinasibisha na uislam. Hivyo basi waislam wote duniani wanawatetea waislam wenzao wa palestina. Bora Misri, Saudi Arabia na Qatar waliamua kujitenga na uadui na Israel ili isiwe taabu kwa wananchi wake
huna habari hata huyo mzee nyahu alipokuwa kijana alipigana vita? Wale ni watu wa vita, baba zao wanaenda vitani na watoto wao wamewabebe vifuani huku wakiwa wamebeba silaha pia. Kila muisrael ni mpiganaji kwa ajili ya taifa lake. Uwe mzalendo hata hapa ukitokea mkono na taifa jirani utakwenda kupigana kwa lazima hata kama we si mwanajeshi front line itakuhusuIsrael ni wezi, ukiacha udini na mambo mengine, kuna uzayuni na uyahudi, sio wayahudi wote ni wazayuni. Israel askari wake vijana wadogo 20's na 30's wanakufa kikatili kwa sababu ya ujinga.
Ningekuwa myahudi nisingehangaika na uxenge wa serikali yangu ambayo mazee machache kina Nyahu yapo Ikulu sisi vijana wadogo hata hatujaoa tunakwenda kupigwa na makombora kwa kisingizio cha uzalendo.
Yenyewe yameishi na umri wao jua linazama, yamekula ujana, yakapata watoto na wajukuu. bullshit!!
Upuuzi tu.
Hawa wanasisasa wazee ndio shida, chuki zao binafsi wao kwa wao, ndio zinawaangamiza vijana wasio na hatia, kama alipigana vita akae sasa hivi mstari wa mbele aongoze mapambano.huna habari hata huyo mzee nyahu alipokuwa kijana alipigana vita? Wale ni watu wa vita, baba zao wanaenda vitani na watoto wao wamewabebe vifuani huku wakiwa wamebeba silaha pia. Kila muisrael ni mpiganaji kwa ajili ya taifa lake. Uwe mzalendo hata hapa ukitokea mkono na taifa jirani utakwenda kupigana kwa lazima hata kama we si mwanajeshi front line itakuhusu