Napata shida kuapply nafasi ya clinical officer na medical Doctor PSRS. Kuna aliyefanikiwa

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,032
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
 
Waulize hao uliowaweka kwenye profile picture yako wanayo majibu sahihi we sj kijana wao waulize sasa.
 
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
Pambana na hali yako chawa wa sa100. Kumbe ndio unatafuta ajira!!
 
Inavyosemekana ni danganya toto.

Mimi toka hizi kazi zitangazwe nimeshindwa kufanya chochote kwenye mfumo.
aunty_lulu8-20251018-0001.jpg
 
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
wewe ndio unapigaga watu mikwara kwenye maandamano, kumbe huna hata kazi, is it serious au unatroll watu?
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani

Na uchawa wako wote huo huna kazi...
Mjinga sana
 
Back
Top Bottom