Napata shida sana na watu wanaoweka Dissapearing Message kwenye whatsapp zao

Hyrax

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2023
Posts
964
Reaction score
2,675
Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya,

Kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni tapeli, mzinzi, mhuni, mwizi Ongeza nyingine...
 
Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya, kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni tapeli, mzinzi, mhuni, mwizi au shoga. Ongeza nyingine...
Huwa sielewi ina kazi gani hiyo feature wajuzi tuambieni
 
Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya, kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni tapeli, mzinzi, mhuni, mwizi au shoga. Ongeza nyingine...
Privacy Mzee wangu privacy policy ndio maana hata jinsi kunyoa mavuzi kila mtu ana mkao wake akiwa anapunguza pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…