Jaji matundu
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 251
- 92
Mkuu Jaji matundu Nina Maswali ninayotaka kukuliza mimi Je umewahi kupiga Punyeto? na kama ulikuwa unapiga Punyeto kwa muda gani? Je umesha acha kuwa mwanachama wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania. (Chapuwata)? Je unapo amka Asubuhi Dushelele lako lina dinda? yaani unapo kwenda asubuhi Chooni kukojowa uume wako una dinda au hau dindi? una miaka mingapi? unayo maradhi ya ngiri? unavuta sigara? una kunywa pombe? unayo maradhi ya presha au maradhi ya moyo au maradhi ya kisukari? ningependa kujuwa hayo tu nitakupa ushauri wa kitu gani cha kufanya asante .jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu nimebaki ku mkwepa kwepa ni mekwenda hospitali wakaniambia hili tatizo.linasababishwa na mambo mbalimbali ya kisaikolojia kama vile kuwa na stress,kutokupata mda wa kutosha wa kupumzika nimejaribu kufuata niliyoshauriwa lakini bado na hitaji msaada zaidi kutoka kwenu wanabodi natanguliza shukrani zangu za dhati nisadieni cc georgeos mimi et el
chapuwata kwa miaka kumi eeeeenh ww ni mwenyekiti
chapuwata kwa miaka kumi eeeeenh ww ni mwenyekiti
Mkuu Jaji matundu Nina Maswali ninayotaka kukuliza mimi Je umewahi kupiga Punyeto? na kama ulikuwa unapiga Punyeto kwa muda gani? Je umesha acha kuwa mwanachama wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania. (Chapuwata)? Je unapo amka Asubuhi Dushelele lako lina dinda? yaani unapo kwenda asubuhi Chooni kukojowa uume wako una dinda au hau dindi? una miaka mingapi? unayo maradhi ya ngiri? unavuta sigara? una kunywa pombe? unayo maradhi ya presha au maradhi ya moyo au maradhi ya kisukari? ningependa kujuwa hayo tu nitakupa ushauri wa kitu gani cha kufanya asante .
Mkuu Njaa Kutokana na wewe kupiga punyeto na kunywa pombe una upungufu wa nguvu zako za kiume ukitaka dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume nitafute kwa wakati wako ukinitaka mimi bonyeza hapa.MawasilianoAisee maswali yako yamepata majibu haya, msaada tafadhali, wahanga tupo wengi...
kiukweli nimepiga sana punyeto kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari
chapuwata kwa miaka kumi eeeeenh ww ni mwenyekiti
tafuta mti mmoja unaitwa mlonge tafuna mbegu zake 2x2 ndani ya siku 3 utaniambia.
Mkuu Jaji matundu Nina Maswali ninayotaka kukuliza mimi Je umewahi kupiga Punyeto? na kama ulikuwa unapiga Punyeto kwa muda gani? Je umesha acha kuwa mwanachama wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania. (Chapuwata)? Je unapo amka Asubuhi Dushelele lako lina dinda? yaani unapo kwenda asubuhi Chooni kukojowa uume wako una dinda au hau dindi? una miaka mingapi? unayo maradhi ya ngiri? unavuta sigara? una kunywa pombe? unayo maradhi ya presha au maradhi ya moyo au maradhi ya kisukari? ningependa kujuwa hayo tu nitakupa ushauri wa kitu gani cha kufanya asante .
MziziMkavu Mbona mie puli kwa Sana konyagi nyingi na mdindo mtindo mmoja?
tafuta mti mmoja unaitwa mlonge tafuna mbegu zake 2x2 ndani ya siku 3 utaniambia.