Napata simple and weak erection

Napata simple and weak erection

Pole sana mkuu! Pata muda wa mazoezi,kula mchemsho wa nyanya chungu zile za asili usunge chochote,even chumvi,kutwa mara tatu.
Kunywa mchanganyiko wa
asali mbichi,mziwa ya uvuguvugu,yai bichi la kuku wa kienyeji na mdalasini!
Kwa mahitaji ya asali mbichi wasiliana nami kwa pm
 
Acha punyeto
Acha pombe
Fanya mazorzi
Kula healthy food
Badilisha na mazingira
Epuka stress
 
kiukweli nimepiga sana punyeto kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari

dah! miaka 27 puli miaka 10! inamaana wewe mheshimiwa ile kufika miaka 17 ukasema "watanikoma" ukalianzisha!
 
dah! miaka 27 puli miaka 10! inamaana wewe mheshimiwa ile kufika miaka 17 ukasema "watanikoma" ukalianzisha!

Kama wewe ni mzima mshukuru Mungu, sidhani kama alipeda kufanya masterbation kwa muda wote huo, tusifanye mzaha au kejeli kwenye matatizo ya wenzetu, we ni mwanaume onyesha kujali. Sio lazima uccoment rafiki. Sidhani kama unaelewa uchungu anaoupata. Namalizia kusema kama wewe uko poa mshukuru Mungu na kuwa msaada kwa wenzio.
 
kiukweli nimepiga sana punyeto kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari

Kwa umri wako hilo ni tatizo dogo saana ukiliwahi. Kwanza acha punyeto, ingawa kisayansi haina madhara, ila psychologically inasababisha unakosa confidence unapokua na binti. Then anza kufanya mazoezi hasa kukimbia na mazoezi ya tumbo, usitumie nguvu saana mwanzani, as yatakumalizia nguvu. Anza kidogo kidogo then unaongeza dozi kila baada ya siku chache. Pia make sure mlo wako una proteins za kutosha, haijalishi unazitoa kwenye chakula gani, cha msingi kula vyakula vyenye proteins kwa wingi. Na mwisho, which is actually the most important, ni kurekebisha saikologia yako, don't consider yourself inferior, as unapokosa confidence unakua weak na uanaume wako unakosa pia, hence weak erections.
 
Kama wewe ni mzima mshukuru Mungu, sidhani kama alipeda kufanya masterbation kwa muda wote huo, tusifanye mzaha au kejeli kwenye matatizo ya wenzetu, we ni mwanaume onyesha kujali. Sio lazima uccoment rafiki. Sidhani kama unaelewa uchungu anaoupata. Namalizia kusema kama wewe uko poa mshukuru Mungu na kuwa msaada kwa wenzio.

sasa hapo kejeli ipo wapi? ulitaka niulize swali huku nikitoa machozi? bahati mbaya machozi hayaonekani kwenye mtandao na wala hayatasaidia kuondoa tatizo. sasa unadhani "una maana ulianza kujichua ukiwa na miaka 17"? ingemsaidia nini zaidi?
hujui swali langu lililenga kumfanya afunguke zaidi? sasa mambo ya puli na Mungu yanaingilianaje? ungekuwa umefanya msaada sana kumwelekeza muhusika kuliko kunizungumzia mimi masuala ya Mungu na puli.
 
Jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu, nimebaki ku mkwepa kwepa.

Nimekwenda hospitali wakaniambia hili tatizo linasababishwa na mambo mbalimbali ya kisaikolojia kama vile kuwa na stress, kutokupata mda wa kutosha wa kupumzika. Nimejaribu kufuata niliyoshauriwa lakini bado nahitaji msaada zaidi kutoka kwenu wanabodi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati nisadieni.

cc Gorgeous mimi et el

Una matundu? Nani kakutoboa jaji!..matundu hayo ndio sababu
 
mlete huyo mama mwenzangu nimshauri vyakula vyakupika na namna yakuvipika na sio kurosti viungue kudhan anakomesha majirani kumbe anamkonesha mmewe. you have to spend more time in a romantic way with your mamaa , itakusaidia kukosa mda wakupiga pul mwambie mkeo ili ajue anapikaje msosi kwa afya yako
 
Back
Top Bottom