Napata simple and weak erection

Napata simple and weak erection

Jaji matundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
251
Reaction score
92
Jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu, nimebaki ku mkwepa kwepa.

Nimekwenda hospitali wakaniambia hili tatizo linasababishwa na mambo mbalimbali ya kisaikolojia kama vile kuwa na stress, kutokupata mda wa kutosha wa kupumzika. Nimejaribu kufuata niliyoshauriwa lakini bado nahitaji msaada zaidi kutoka kwenu wanabodi.

Natanguliza shukrani zangu za dhati nisadieni.

cc Gorgeous mimi et el
 
jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu nimebaki ku mkwepa kwepa ni mekwenda hospitali wakaniambia hili tatizo.linasababishwa na mambo mbalimbali ya kisaikolojia kama vile kuwa na stress,kutokupata mda wa kutosha wa kupumzika nimejaribu kufuata niliyoshauriwa lakini bado na hitaji msaada zaidi kutoka kwenu wanabodi natanguliza shukrani zangu za dhati nisadieni cc georgeos mimi et el
Mkuu Jaji matundu Nina Maswali ninayotaka kukuliza mimi Je umewahi kupiga Punyeto? na kama ulikuwa unapiga Punyeto kwa muda gani? Je umesha acha kuwa mwanachama wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania. (Chapuwata)? Je unapo amka Asubuhi Dushelele lako lina dinda? yaani unapo kwenda asubuhi Chooni kukojowa uume wako una dinda au hau dindi? una miaka mingapi? unayo maradhi ya ngiri? unavuta sigara? una kunywa pombe? unayo maradhi ya presha au maradhi ya moyo au maradhi ya kisukari? ningependa kujuwa hayo tu nitakupa ushauri wa kitu gani cha kufanya asante .
 
kiukweli nimepiga sana punyeto kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari
 
Tafuta mchepuko, tatizo lako litaisha
 
Nakushauri unywe juice ya matikiti maji kwa sana hali yako itatengemaa.
 
Mkuu Jaji matundu Nina Maswali ninayotaka kukuliza mimi Je umewahi kupiga Punyeto? na kama ulikuwa unapiga Punyeto kwa muda gani? Je umesha acha kuwa mwanachama wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania. (Chapuwata)? Je unapo amka Asubuhi Dushelele lako lina dinda? yaani unapo kwenda asubuhi Chooni kukojowa uume wako una dinda au hau dindi? una miaka mingapi? unayo maradhi ya ngiri? unavuta sigara? una kunywa pombe? unayo maradhi ya presha au maradhi ya moyo au maradhi ya kisukari? ningependa kujuwa hayo tu nitakupa ushauri wa kitu gani cha kufanya asante .

Aisee maswali yako yamepata majibu haya, msaada tafadhali, wahanga tupo wengi...

kiukweli nimepiga sana punyeto kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari
 
Aisee maswali yako yamepata majibu haya, msaada tafadhali, wahanga tupo wengi...

kiukweli nimepiga sana punyeto
kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari
Mkuu Njaa Kutokana na wewe kupiga punyeto na kunywa pombe una upungufu wa nguvu zako za kiume ukitaka dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume nitafute kwa wakati wako ukinitaka mimi bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Jaji matundu Nina Maswali ninayotaka kukuliza mimi Je umewahi kupiga Punyeto? na kama ulikuwa unapiga Punyeto kwa muda gani? Je umesha acha kuwa mwanachama wa chama cha wapiga Punyeto Tanzania. (Chapuwata)? Je unapo amka Asubuhi Dushelele lako lina dinda? yaani unapo kwenda asubuhi Chooni kukojowa uume wako una dinda au hau dindi? una miaka mingapi? unayo maradhi ya ngiri? unavuta sigara? una kunywa pombe? unayo maradhi ya presha au maradhi ya moyo au maradhi ya kisukari? ningependa kujuwa hayo tu nitakupa ushauri wa kitu gani cha kufanya asante .

MziziMkavu Mbona mie puli kwa Sana konyagi nyingi na mdindo mtindo mmoja?
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu Mbona mie puli kwa Sana konyagi nyingi na mdindo mtindo mmoja?

Bujibuji hata ukicheza rafu wewe hustahili kupewa kadi nyekundu maana huishi vituko ha ha haaaaaa!
Wewe utakuwa una tatizo za wingi wa nguvu za kiume, so unatakiwa ukadonate nguvu hizo kwenye benki ya mbegu za kiume ili wenye upungufu waongezewe katika precisely costs!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
kiukweli nimepiga sana punyeto kwa muda mrefu sana? kwa miaka 10
#huwa naacha lakini sometimes najikuta narudi kundini
#baadhi ya siku linadinda lakini sio mara kwa mara
#nina miaka 27
#sina ngiri
#sivuti sigara wala bange
#nakunywa pombe
#sina maradhi ya moyo, presha,wala kisukari

Umejitahidi kujieleza ila msaada upo chini ya kiwango, waliowengi hawajui uchungu ugonjwa Jaji matundu saga vitunguu maji+Asali mbichi+maziwa tumia mchanganyiko vijiko2x3x5. pia jitahidi kunywa maji mengi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom