dah! miaka 27 puli miaka 10! inamaana wewe mheshimiwa ile kufika miaka 17 ukasema "watanikoma" ukalianzisha!
Kama wewe ni mzima mshukuru Mungu, sidhani kama alipeda kufanya masterbation kwa muda wote huo, tusifanye mzaha au kejeli kwenye matatizo ya wenzetu, we ni mwanaume onyesha kujali. Sio lazima uccoment rafiki. Sidhani kama unaelewa uchungu anaoupata. Namalizia kusema kama wewe uko poa mshukuru Mungu na kuwa msaada kwa wenzio.
Jamani ninasumbuliwa na tatizo la Dushe kutokudinda vizuri tangu 29/2 Mwaka huu nimeoa na nina mke na ninashindwa hata nianzeje kumuambia tatizo langu, nimebaki ku mkwepa kwepa.
Nimekwenda hospitali wakaniambia hili tatizo linasababishwa na mambo mbalimbali ya kisaikolojia kama vile kuwa na stress, kutokupata mda wa kutosha wa kupumzika. Nimejaribu kufuata niliyoshauriwa lakini bado nahitaji msaada zaidi kutoka kwenu wanabodi.
Natanguliza shukrani zangu za dhati nisadieni.
cc Gorgeous mimi et el
Nyie wagonjwa? yeye awe mwenyekiti na mie ninae gonga mwaka wa 25 kujipa raha niwe nani?acheni kupeana vyeo kirejareja itamwagika damu hapa!chapuwata kwa miaka kumi eeeeenh ww ni mwenyekiti
Pole sana ,nafikifi una tatizo la kisaikolojia zaidi .