Napata Ukakasi wa Kumuita Magufuli kwa kibwagizo cha SHUJAA alipatwa na Umauti Kizembe sana

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma.

Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za kujikomboa,

Sioni mantiki ya Magufuli kuitea SHUJAA kwa lipi hasa wakati alikufa katika mazingira ya kizembe sana.

Tuache kuwapa watu majina ambayo hawana sifa nayo, Magufuli haikuwa na ushujaa wowote labda mtumie neno jasiri ama mbabe nje na hapo msichafue kamusi ya tafsiri ya neno SHUJAA.

Tupambane kwa hoja na sio vinginevyo, ukija kwa hoja nakubatua kwa hoja ukija kwa vijembe ntakupa nginja nginja kama zote.

"Mwewe mwenda kasi halali njaa"

Wadiz

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
 
Huna mambo mengine ya kufanya
 
Kama mengi na utajiri wote alikufa kizembe sembuse jiwe?
 
GenZ ni shida. Ni nini kilimuua mpaka unasema ni kifo cha kizembe
 
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma.

Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za kujikomboa,

Sioni mantiki ya Magufuli kuitea SHUJAA kwa lipi hasa wakati alikufa katika mazingira ya kizembe sana.

Tuache kuwapa watu majina ambayo hawana sifa nayo, Magufuli haikuwa na ushujaa wowote labda mtumie neno jasiri ama mbabe nje na hapo msichafue kamusi ya tafsiri ya neno SHUJAA.

Tupambane kwa hoja na sio vinginevyo, ukija kwa hoja nakubatua kwa hoja ukija kwa vijembe ntakupa nginja nginja kama zote.

"Mwewe mwenda kasi halali njaa"

Wadiz

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Magufuri ni kiongozi pekee aliyekufa lakini siasa zake baado zinaishi.
Yaan hata nyerere haongelewi hivi
 
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma.

Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za kujikomboa,

Sioni mantiki ya Magufuli kuitea SHUJAA kwa lipi hasa wakati alikufa katika mazingira ya kizembe sana.

Tuache kuwapa watu majina ambayo hawana sifa nayo, Magufuli haikuwa na ushujaa wowote labda mtumie neno jasiri ama mbabe nje na hapo msichafue kamusi ya tafsiri ya neno SHUJAA.

Tupambane kwa hoja na sio vinginevyo, ukija kwa hoja nakubatua kwa hoja ukija kwa vijembe ntakupa nginja nginja kama zote.

"Mwewe mwenda kasi halali njaa"

Wadiz

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Sasa wewe si uzungumzie tu mapenzi ndugu chief wa mapenzi, zungumzia tu ngono ndugu yangu, mada zingine siyo saizi yako.
 
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma.

Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za kujikomboa,

Sioni mantiki ya Magufuli kuitea SHUJAA kwa lipi hasa wakati alikufa katika mazingira ya kizembe sana.

Tuache kuwapa watu majina ambayo hawana sifa nayo, Magufuli haikuwa na ushujaa wowote labda mtumie neno jasiri ama mbabe nje na hapo msichafue kamusi ya tafsiri ya neno SHUJAA.

Tupambane kwa hoja na sio vinginevyo, ukija kwa hoja nakubatua kwa hoja ukija kwa vijembe ntakupa nginja nginja kama zote.

"Mwewe mwenda kasi halali njaa"

Wadiz

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
Haitwi shujaa kutokana na kifo chake, anaitwa shujaa namna alivyoliongoza taifa kizalendo na kupambania mafukara wasiokuwa nacho.
Vinginevyo uweke wazi hicho kifo cha kizembe ili wadau tuhangaike nacho.
 
SHUJAA ANADANGANYA WENZIE HAMNA CORONA WAKATI AMEJIFICHA CHATO ZAIDI YA MIEZI MIWILI!!!

KILICHOMPATA SASA...MAHIGA...KIJAZI...SHUJAAA...HANSPOPE.....
 
Una lack credible ability ya kutazama mambo ! unaangalia na kutafsiri kama mtoto!
Sijui hata vitendawili kama ulikua unaweza ww??
 
Kifo hakikwepeki hata kwa mashujaa, hakuna kufa kizembe kufa ni kufa tu.
 
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma.

Ushujaa ni neno zito sana na linahitaji kutumika kwa wapigania uhuru na mwenye harakati za kujikomboa,

Sioni mantiki ya Magufuli kuitea SHUJAA kwa lipi hasa wakati alikufa katika mazingira ya kizembe sana.

Tuache kuwapa watu majina ambayo hawana sifa nayo, Magufuli haikuwa na ushujaa wowote labda mtumie neno jasiri ama mbabe nje na hapo msichafue kamusi ya tafsiri ya neno SHUJAA.

Tupambane kwa hoja na sio vinginevyo, ukija kwa hoja nakubatua kwa hoja ukija kwa vijembe ntakupa nginja nginja kama zote.

"Mwewe mwenda kasi halali njaa"

Wadiz

Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Shujaa hapimwi kwa alivyokufa, bali alivyoishi.

Kufa mtu yeyote anaweza kuotewa vyovyote vile.

Alexander The Great, shujaa aliyetikisa dunia, alikufa kitandani kwa ugonjwa.

Lakini, watu hawamkumbuki kuwa alikuwa si shujaa kwa sababu alikufa kitandani kwa ugonjwa, wanamkumbuka kama shujaa aliyeteka mpaka mwisho wa dunia iliyojulikana kwao kipindi chake.

Kitu muhimu ni, aliishi vipi kabla ya kifo?
 
Back
Top Bottom