tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?
Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.
Sijui nifanyeje?
Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.
Sijui nifanyeje?