Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Napata wapi mtu wa kuongea naye?

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
21,329
Reaction score
28,063
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
 
Jamani my dada mbona unanicheka wakati mdogo wako nalika ndani kwa ndani?Hunihurumii? Au mpaka usikie vinginevyo?
Maumivu waliyopitia watu wa Arsenal msimu uliopita unayajua? And now wako wapi?

Chelsea sahivi wana hali gani? Wanashuka daraja. Lakini bado wana imani, msimu ujao watatoboa.

Basi nawe yafaa uwe na subra 😚
Kila gumu lina mlango wa kutokea.
Pole kwa unayopitia. Kama shida ni mtu wa kumwambi, sidhani kama unakosa watu wa karibu unaowaamini.
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Mkuu karibu sana PM Niko kwa ajili yako
 
Sehe
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Sehemu bora ya kutoa sumu na ujinga wote ndani yako ni jf pekee
Huku ndiko mimi huongea ambayo siwezi kuongea uraiani.
 
Maumivu waliyopitia watu wa Arsenal msimu uliopita unayajua? And now wako wapi?

Chelsea sahivi wana hali gani? Wanashuka daraja. Lakini bado wana imani, msimu ujao watatoboa.

Basi nawe yafaa uwe na subra 😚
Kila gumu lina mlango wa kutokea.
Pole kwa unayopitia. Kama shida ni mtu wa kumwambi, sidhani kama unakosa watu wa karibu unaowaamini.
Sasa chelsea imeingiaje hapa jamami..😔😔😔
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Utakutana na mianaume mbinuko huko PM uje na lawama
 
Back
Top Bottom