Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Namshukuru Mungu no matter how hard the situation is, huwa nahakikisha nina mtu wa kumueleza hata kama dunia yangu inataka kugawanyika vipande vidogo vidogo na akanielewa bila kunihukumu, tena wengine tulikutana tu humu humu JF..!!

Ninachotaka kukuambia ni kuwa humu ndani kuna raia wa kila namna ila bado wapo wale watu ambao ni bora kabisa hutojuta kuwafahamu, tafuta kamtu kako kamoja ambako katakuwa nawe, iwe jua iwe mvua..!!

Pole sana sana kwa unayoyapitia, Mungu atakuvusha salama, msihi tu kuwa kamwe asikuache uaibike, haijalishi itakuwa mbaya kiasi gani ila hatokuacha, na kumbuka kamwe Mungu hawezi kukupa jaribu kubwa kuliko ustahimilivu wako, 'DHAHABU huwezi ng'ara mpaka kwanza upite kwenye moto'..!! USIOGOPE..!
Carleen nimependa ushauri wako
 
[emoji123] umesema kweli
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Huwa najuaga wajinga hamna stress. Sijui imekuaje tena hapa.

Wewe historia ya maisha yako unataka kumueleza mtu ili iwe nini, kwanza huna akili. Mkishashiba tu mnakimbilia kutapika jf
 
Jamani my dada mbona unanicheka wakati mdogo wako nalika ndani kwa ndani?Hunihurumii? Au mpaka usikie vinginevyo?

Kwa huu uandishi, human rights inaweza ku
Huwa najuaga wajinga hamna stress. Sijui imekuaje tena hapa.

Wewe historia ya maisha yako unataka kumueleza mtu ili iwe nini, kwanza huna akili. Mkishashiba tu mnakimbilia kutapika jf

Hii ni human righta issue impossed to Africa and financed by us, with no chance fo be implemented in Uganda.
 
Maumivu waliyopitia watu wa Arsenal msimu uliopita unayajua? And now wako wapi?

Chelsea sahivi wana hali gani? Wanashuka daraja. Lakini bado wana imani, msimu ujao watatoboa.

Basi nawe yafaa uwe na subra 😚
Kila gumu lina mlango wa kutokea.
Pole kwa unayopitia. Kama shida ni mtu wa kumwambi, sidhani kama unakosa watu wa karibu unaowaamini.
Kuna stress na stressor, please avoid stressors like mtu usie muelewa na kukomaa humo,in fact hii dunia fanya yako as long uko safe.
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Unataka mtu gani tena, si unaongea na sisi hapa JF?
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Pole sana , utampata
 
Maneno mazuri lakini watu wengi sio waaminifu ,hasa marafiki wanaumiza mno mm huwa nayazika moyoni kimtindo ila muhimu kuwa na subra Kila jaribu huwa mlango wa kutokea
Amina kamamaa,
Mungu azidi kututia nguvu..!!
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
Pole sana mkuu.
Mungu akutie nguvu
 
Kuna Uzi uko juu unasema kukaa upweke ni sawa na kuvuta sigara 15 kwa siku
 
Back
Top Bottom