Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Napata wapi mtu wa kuongea naye?

Mmekosa cha kushauri eehee, Mnaamua kuharibu uzi wa watu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila depression ni mbaya sana yaani. Cha kumshauri asikilize TBC kesho jumatano usiku kuanzia nne na robo mpaka saa sita usiku. Atapona kabisa tamuuuuu
 
nasemaje arsenal epl habebi na uefa msimu ujao tunampa bayern๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Me sio Arsenal ๐Ÿ˜‚
Arsenal wanaiona nchi ya ahadi, ila hawataingia.
Wamerudi kileleni. Ila Man city ana mechi 2 mkononi. Ni shwaaaap anatokapo tena
 
Ila depression ni mbaya sana yaani. Cha kumshauri asikilize TBC kesho jumatano usiku kuanzia nne na robo mpaka saa sita usiku. Atapona kabisa tamuuuuu
๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” na ukose mtu wa kumtapikia, uwii ndio inakuwa balaa
 
Me sio Arsenal ๐Ÿ˜‚
Arsenal wanaiona nchi ya ahadi, ila hawataingia.
Wamerudi kileleni. Ila Man city ana mechi 2 mkononi. Ni shwaaaap anatokapo tena
Utashindwa kuiona pepo kwa sababu ndogo tu. Toka lini Cytzen ina mashabiki hapa Tanzania??? ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Najua Mzee Jakaya Kikwete ni shabiki wa Newcastle toka kitambo na sasa hivi inajitafuta muda si mrefu inakuwa ya moto.
 
Ni muda mrefu sasa natamani nipate mtu wa kuongea naye,nipate wasaa wa kubadilishana mawazo na nimwambie historia ya maisha yangu kwa ujumla kule nilikotoka,niliyopitia, nilipo na changamoto ninazopitia currently but nakosa nisemezane na nani?

Ila kiukweli natamani iwe hivo maana like naona nazidiwa na I wish niitoe hii sumu ninayoona kama inanizidi ndani yangu.Kuna msukumo unanisukuma kufanya hivyo.

Sijui nifanyeje?
we jamaa uko na shida kisaikologia kama unangalia movie za kikorea acha naona zina haribu watu wengi sana.
take your time kujifunza new skills kusoma vitu tofauti. mfano mm na soma cosmology just for funny,jaribu na ww utafute kitu unacho penda ufanye,

Acha kutumia instagram inaonekana uko rahis kuafectiwa na maisha au mitizamo ya watu wengine.
 
Utashindwa kuiona pepo kwa sababu ndogo tu. Toka lini Cytzen ina mashabiki hapa Tanzania??? ,๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Najua Mzee Jakaya Kikwete ni shabiki wa Newcastle toka kitambo na sasa hivi inajitafuta muda si mrefu inakuwa ya moto.
shabiki wa citizen tupo kibao mkuu
 
๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” na ukose mtu wa kumtapikia, uwii ndio inakuwa balaa
Atafute tu nampa namba ya Phycologist atapike yote.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Humu JF watamvuruga tu maana wengine Stress zimekuwa kama ni sehemu ya maisha yetu
 
Atafute tu nampa namba ya Phycologist atapike yote.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Humu JF watamvuruga tu maana wengine Stress zimekuwa kama ni sehemu ya maisha yetu
Kabisa humu uwe na kifua na usiwe namtu wa hasira unaweza kuwa una stress kidogo Kuna Mt Anatafuta wa kugombana nae ndo stress zake zitulie๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Back
Top Bottom